Hivi wewe ungekuwa ndugu wa mume wa mwanamke huyu ungejisikiaje

Nadhani Judgement ya hili itategemea na mtazamo wako, sio lazima kila mtu awe katika mtazamo huo. Bila shaka ukibadilisha angle ulio simamia, unaweza kuona picha tofauti. It is just an angle of observation.
 
Miaka saba kwenye uhai si mingi ,tumwombee jamaa atoke jela waje warudiane na mkewe kipenzi

mkuzi Miaka 7 ni ile ya kesi ya kutaka kuuza nyumba,Jamaa ana nyingine ya UHUJUMU UCHUMI! aka KUTAKASISHA PESA ambayo kesi inaunguruma na akipatikana na hatia sii pungufu ya miaka 20 akitoka Babu na Kajala CHOKEST ZAIDI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…