Sina taaluma ya sheria tu, ila nadhani kuna vitu ningekua naiburuza serikali mahakamani kila siku.
Imagine hela iliyoingia anuani za makazi, alafu unapiga simu let say --- dawasa au taasisi nyingine yeyote wanataka muanze kuelekezana ukifika pale unakata kulia utanikuta nakusubiri