mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Kazi ni kipimo cha utuKwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba
Karibuni tujadili wizi na aina zake
Upi sasa, wizi au kazi?Ujinga huu.
Upi sasa, wizi au kaziUjinga huu.
Wizi ni kazi?
Hapa umeanzisha nukta nyingine tena,Inategemea na maadili yako. Ukitaka iwe kazi inabidi ujiaminishe sio vibaya.
Mfano unaweza amua uwe unaibia wabunge tu kwasababu labda unaamini wanapata hela nyingi kuliko wanavyostahili.
Maswali ya kimaadili hayo magumu sana.Hapa umeanzisha nukta nyingine tena,
Kumuibia mwizi ni sawa?
Duh, sio mchezo,Wizi wa viongozi ni kazi halali
Kwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba
Karibuni tujadili wizi na aina zake
Wewe wasema, mimi nimeuliza je wizi nayo ni kazi?kwa hiyo hujui kazi ya ccm
Nenda kawachunguze trafiki,mgambo,fundi ujenzi/magari,wahasibu na makeshia ndio utaelewa man!!Kwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba
Karibuni tujadili wizi na aina zake