Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Wakuu
Baada ya kufanya mtihani wa tax management officer ii kuna watu walisambaza ule mtihani ukiwa na majibu yake kutoka chatgpt.
Binafsi niliyapitia yale majibu na kujisahihishia mwenyewe kulingana na nilichokua nimekijaza ambapo marks nilizopata zilikua ni 66.5% ila cha kushangaza tra wao wametoa majibu yao nimewekewa 42%.
Je majibu yale ya chapgpt yalikua ya uongo?
 
Matokeo walikoroga sana TRA na mimi napendekeza ilud utumishi tu
 
Back
Top Bottom