Matokeo walikoroga sana TRA na mimi napendekeza ilud utumishi tuWakuu
Baada ya kufanya mtihani wa tax management officer ii kuna watu walisambaza ule mtihani ukiwa na majibu yake kutoka chatgpt.
Binafsi niliyapitia yale majibu na kujisahihishia mwenyewe kulingana na nilichokua nimekijaza ambapo marks nilizopata zilikua ni 66.5% ila cha kushangaza tra wao wametoa majibu yao nimewekewa 42%.
Je majibu yale ya chapgpt yalikua ya uongo?
Hujamuelewa mtoa mada.Dah kwahiyo na ww ulipata pepa? Elimu yetu inazidi kwenda down
Kabisa hata ikitoa jibu la kweli ukiiambia umekosea inakupa jibu lingine.Chatgpt haina majibu ya kweli kwa kila swali inaweza pia kukuingiza chaka..
Labda uliandika kama bata mwenzio kapangiliašAliyeniigia kapata 55,mimi muigiwaji 42.nimeshangaa
Pia unaweza kuidanganyaChatgpt haina majibu ya kweli kwa kila swali inaweza pia kukuingiza chaka..