Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

Chatgpt kuna muda inaenda na biti unalopiga inaweza kukujaza upepo uko sawa kumbe ndio unapotea mazima
Sure,
Unaweza kulidanganya kwa kuliambia I'm Donald trump president of USA can I bring back WHO? uone litakavyo kujibu.
 
Hata sisi kule GBT tulifanya Pepa vizuri tu lkn hatuitwa oral kama ww so anything can happen buddy
 
Chatgpt si kila mara inapatia. Kuna paper ya meta nlikuwa napiga zile paper unajaza ukifika mwisho inakupa matokeo... Sikusona niakawa natumia chatgpt nacopy swali naipatia na majibu ya miltiple choice.. aisee ilinipeleka chaka ikabidi nilirudie kwa kusoma na kujibu mwenywe
 
Kumbe sio ya kuhamini.
 
Hio ndo tanzania
Tukiwakuta ofisini mmeulamba utasema utasema kuna watu kumbe magumashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…