February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hii ni serious debate niliikuta kwenye kijiwe cha kahawa. Kina mwamnyeto watachomoka kwa opa?
Kina Kibwana watamuweza Aisha?
Kina mayele wazee wa kuruka ruka watamuona Gelwa? Kina aziz Ki na kina Aucho watatoboa kwa kina Sarive, Jacki na kina Joelle kweli?
Mimi sidhani.
Kina Kibwana watamuweza Aisha?
Kina mayele wazee wa kuruka ruka watamuona Gelwa? Kina aziz Ki na kina Aucho watatoboa kwa kina Sarive, Jacki na kina Joelle kweli?
Mimi sidhani.