Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana.
Pale kwenye eneo la tukio kulikuwa na Polisi lakini walikuwa nao kama ni waangaliaji tu wa purukushani ile.
Nikawaza ingekuwa tukio lile ni wanachama wa CHADEMA ndiyo wanawazuia CCM kufanya mkutano kwenye eneo waliloruhusiwa kufanya mkutano, wale polisi wangewafanya nini hao wanachadema?
Nawaza tu.