Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mazoezi ni muda wowotemazoezi gani usiku.....wasubiri kipondo tu leo
Kwani mwchi inachezwa muda gani?mazoezi gani usiku.....wasubiri kipondo tu leo
Kwani mechi itachezwa mchana..? Hata hivyo usiitopoloshe hii hoja.mazoezi gani usiku.....wasubiri kipondo tu leo
kwani chaha deema ni yanga?Kwani mechi itachezwa mchana..? Hata hivyo usiitopoloshe hii hoja.
Hapa tunataka kujua kama wale makomando wa Yanga wangekuwa ni wanachadema wanawazuia CCM kufanya mkutano, wale Polisi wangekuwa wanawaangalia tu?
Wanachadema wangeliuwawa na polisiccmNimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana.
Pale kwenye eneo la tukio kulikuwa na Polisi lakini walikuwa nao kama ni waangaliaji tu wa purukushani ile.
Nikawaza ingekuwa tukio lile ni wanachama wa CHADEMA ndiyo wanawazuia CCM kufanya mkutano kwenye eneo waliloruhusiwa kufanya mkutano, wale polisi wangewafanya nini hao wanachadema?
Nawaza tu.
Jifunze kanuni kabla ya kubishana, Simba walikuwa na haki ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwa muda ambao mechi itachezwa, na walikwenda pale saa 1 usiku ambao ndiyo muda mechi ingechezwa.mazoezi gani usiku.....wasubiri kipondo tu leo
hadi wewe kolo????Jifunze kanuni kabla ya kubishana, Simba walikuwa na haki ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwa muda ambao mechi itachezwa, na walikwenda pale saa 1 usiku ambao ndiyo muda mechi ingechezwa.
No reform no match!Halafu Simba wakisema wanataka kuwe na REFORMS kwenye waamuzi wa Mchezo Makala anaibuka huko na kupiga mikwara.
Kabisa 😁👍No reform no match!
Yaani ingekuwa ni kukanyagwa na kuoneshwa cha mtemakuni. Kwa kweli CHADEMA huwa wanaonewa Sana na Polisi.Wanachadema wangeliuwawa na polisiccm
Ili kuwa wawange tu.mazoezi gani usiku.....wasubiri kipondo tu leo
OooohSidhan kama una akili timamu wewe na siamini kama umeisoma ile barua ya simba na ukaitafakari, moja hujui kwmb simba wamekili meneja wa uwanja ndiye alikataa simba wasiingie uwanjani sababu hakuwa na taarifa yoyote toka kwa kamishna kwmb simba watakuja fanya mazoezi, pili hao wanaosemwa mabaunsa walikuwa nje ya uwanja au ndani ya uwanja jbu ni walikuwa nje na milango ya uwanja imefungwa sa waliwazuiaje simba kuingia wkt na wao wako nje ya uwanja mwny funguo ni meneja ambaye si mwajiliwa wa yanga, tatu kanuni mnadai imevunjwa je ni wp panasema ikivunjwa msusie mechi? Mwsho je yanga mechi ya dabi iliyopta waliruhusiwa kufanya mazoez hapo jbu ni hapana sa hiki kihelehele cha simba knatoka wp.
Kabisa.Labda tukitolea mifano hii Watanzania watatuelewa zaidi mifano ya Yanga Simba na hali ya kisiasa ilivyo nchini.