Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

La liga!??? [emoji3]

La liga hawana muda wa kupost vitu vya mchongo mchongo

IMG_2605.jpg

Watanzania tuwe na utaratibu wa kufuatilia mambo kabla ya kukurupuka tu mwishowe mtie aibu mbele ya jamii kwa ukosefu wa taarifa sahihi.[mention]Outcrop Rock [/mention] ameshajibu hoja sasa sijui kwanini mnaendelea kuropoka ovyo. Chuki na wivu vitawaua
 
Mkuu mara ya mwisho Young Africans kupoteza mchezo ilikuwa ni tar 25/42020 walifungwa gori 1 na Azam, Tangu hapo hawakupoteza mchezo tena, hiyo ilikuwa round ya 28 msimu wa 2020/21. Takwimu zake ni kama ifuatavyo

1. Round ya 29 alicheza na Namungo tar 15/5 akatoka Sare ya 0-0,

2. Round ya 30 akacheza na Jkt Tanzania tar 19/5 akashinda 2-0

3. Round ya 31 akacheza na Ruvu shooting tar 17/6 akashinda 3-2,

4. Round ya 32 akacheza na Mwadui tar 20/6 akashinda 3-2

5. 3/7 Simba 0- Young Africans 1 gori la zawadi mauya( Hii game ilipangiwa hii tarehe baada ya kuhailishwa tarehe ambayo ilipangiwa kuchezwa ndo maana haijawa kwenye mtiririko wa round)

6. Round ya 33 akacheza na Ihefu tar 15/7 akashinda 2-0,

7. Round ya 34 akacheza na Dodoma jiji tar 18/7 wakatoka 0-0..

Generally, msimu wa 2020/21 baada ya kufungwa na Azam alicheza game 7 mbele bila kupoteza, msimu wa 21/22( NBC premier League) amecheza game 30 bila kupoteza na msimu huu 2022/23 amecheza game 12 bila kupoteza..7+30+12=49

NB
Ready to be corrected

Outcrop Rock( mwamba kipara)
Kongole kaka umeweka takwimu, anaebisha awe na hoja.
 
Kwa kifupi wewe hujui ata izo unbeaten uwa inahusisha michezo gani, yaani kama ni darasani mwalimu inabidi aanze Moja Ili darasa lisikuache nyuma.
Mkuu, hiyo ndio maana halisi ya mbumbumbuu
Wakati Arsenal wanatengeneza record ya kutofungwa mechi 49 hadi wakaitwa invicibles, sio kua hawakufungwa kwenye mashindano yote, ilikua ni ligi tu ambayo walicheza bila ya kufungwa Hizo mechi 49
Sasa Teja lishakabwa nq arosto linakuja kubwabwaja
 
Kuna siku Nilikuwa napembua mashabiki nikakuorodhesha lakini Mtu mmoja akanambia Huyo ni Mshangiliaji siyo shabiki. Leo nimeamini, yaani hata kinachoongelewa hujui Ila umelipuka tu.
Hapa JF shabiki WA Simba anajua mpira ni Scars, wengine ni oya oya tupu
 
WATU WANAJIITA UNBEATEN.

WAMEPIGWA NA SIMBA KIGOMA.

WAMEPIGWA NA ZESCO.

WAMEPIGWA NA LIVER UNITED.

WAMEPIGWA NA ZANACO.

WAMEPIGWA NA AL HILALY OMDUMAN.

WAMEPIGWA NA IBENGE

SOMALIA NK
Kwa akili hizi tutapata kweli katiba mpya? Kwani ukiuliza tu unbeaten game 49 wamehesabu mashindano gani utakua umepungukiwa nini?
 
WOTE MLIO NIONA MJINGA.

UNBEATEN NI JUMLA YA MICHEZO YOTE ULIYOCHEZA BILA KUPOTEZA NDANI YA KIPINDI FLAN.

UNBEATEN YA ARSENAL ILIKUWA.

Bakrays/ EPL LEAGUE.
UEFA.
FA.
CARABAO CUP.


SIO MICHEZO YA LIGI EPL TU.
FICHENI UJINGA.
Mods nipigeni Ban lakini hiki ni kiazi. Angalieni unbeat ya Arsenal..Aisee.
 
Wa
Ni upuuzi na upayukaji tu si unajua watanzania wengi si wadadisi, hata ile ya mabingwa wa kihistoria ina tashwishwi sema tu Oya Oya mwana.

Ukiangalia washakanyagwa kombe la azam pale, walishakanyagwa mapinduzi zenj na washakanyagwa kimataifa kule kwa wanubi na kirafiki hapa kwa Mkapa ila wanapiga janja janja tu kukwepesha uhalisia. Maana ya unbearten ni iwe hujawahi kushindwa mechi yeyote ile katika mashindano yeyote yale.
Kwahiyo arsenal msimu wa unbeaten alibeba adi uefa ,carabao,fa na community shield au mnajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom