Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

La liga!??? [emoji3]

La liga hawana muda wa kupost vitu vya mchongo mchongo


Watanzania tuwe na utaratibu wa kufuatilia mambo kabla ya kukurupuka tu mwishowe mtie aibu mbele ya jamii kwa ukosefu wa taarifa sahihi.[mention]Outcrop Rock [/mention] ameshajibu hoja sasa sijui kwanini mnaendelea kuropoka ovyo. Chuki na wivu vitawaua
 
Kongole kaka umeweka takwimu, anaebisha awe na hoja.
 
Kwa kifupi wewe hujui ata izo unbeaten uwa inahusisha michezo gani, yaani kama ni darasani mwalimu inabidi aanze Moja Ili darasa lisikuache nyuma.
Mkuu, hiyo ndio maana halisi ya mbumbumbuu
Wakati Arsenal wanatengeneza record ya kutofungwa mechi 49 hadi wakaitwa invicibles, sio kua hawakufungwa kwenye mashindano yote, ilikua ni ligi tu ambayo walicheza bila ya kufungwa Hizo mechi 49
Sasa Teja lishakabwa nq arosto linakuja kubwabwaja
 
Kuna siku Nilikuwa napembua mashabiki nikakuorodhesha lakini Mtu mmoja akanambia Huyo ni Mshangiliaji siyo shabiki. Leo nimeamini, yaani hata kinachoongelewa hujui Ila umelipuka tu.
Hapa JF shabiki WA Simba anajua mpira ni Scars, wengine ni oya oya tupu
 
WATU WANAJIITA UNBEATEN.

WAMEPIGWA NA SIMBA KIGOMA.

WAMEPIGWA NA ZESCO.

WAMEPIGWA NA LIVER UNITED.

WAMEPIGWA NA ZANACO.

WAMEPIGWA NA AL HILALY OMDUMAN.

WAMEPIGWA NA IBENGE

SOMALIA NK
Kwa akili hizi tutapata kweli katiba mpya? Kwani ukiuliza tu unbeaten game 49 wamehesabu mashindano gani utakua umepungukiwa nini?
 
WOTE MLIO NIONA MJINGA.

UNBEATEN NI JUMLA YA MICHEZO YOTE ULIYOCHEZA BILA KUPOTEZA NDANI YA KIPINDI FLAN.

UNBEATEN YA ARSENAL ILIKUWA.

Bakrays/ EPL LEAGUE.
UEFA.
FA.
CARABAO CUP.


SIO MICHEZO YA LIGI EPL TU.
FICHENI UJINGA.
Mods nipigeni Ban lakini hiki ni kiazi. Angalieni unbeat ya Arsenal..Aisee.
 
Wa Kwahiyo arsenal msimu wa unbeaten alibeba adi uefa ,carabao,fa na community shield au mnajitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…