Hivi yanga wana timu ya wabibi pia?

Mashabiki wa Simba tumerudi kwenye mambo yetu kama ilivyokuwa kabla ya tarehe 13 nyuzi kama hizi zilijazana humu baada ya kijadili timu yetu na kutoa ushauri kea viongozi baada ya kilichotokea kwa mkapa tulichikiza na nyuzi za malalamiko na migomo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…