Hivi Yeriko Nyerere anatutaka nini watanzania?

Huyu jamaa yawezekana ni mental case.

Kwenye msiba watu hulia wote yeye yuko bize na spinning na kejeli.

Namshauri aache mara moja kwa usalama wake. Usicheze na umma uloumizwa

Jamaa yupo nje ya mji ambapo hakuna ulinzi wa aina yeyote halafu analeta kejeli ,wadau wataenda kumsalimia.

Watu wana machungu sana ,wangetulia kimya watu machungu yapoe ,wasiendelee kuwatonesha vidonda.
 
Huyu jamaa yawezekana ni mental case.

Kwenye msiba watu hulia wote yeye yuko bize na spinning na kejeli.

Namshauri aache mara moja kwa usalama wake. Usicheze na umma uloumizwa
Lile ni jinga kubwa flani lisilo na akili linalopelekwa kama putoo la balloon 🎈 la kupambia
Hana maana yoyote mnampa attention ya bure
 
Msamehe tu. Atakuwa anawinda uteuzi ndani ya ccm baada ya kuukosa ubunge wa Kigamboni kupitia Chaumma. Hivyo anajaribu kujipendekeza.
 
Jamaa yupo nje ya mji ambapo hakuna ulinzi wa aina yeyote halafu analeta kejeli ,wadau wataenda kumsalimia.

Watu wana machungu sana ,wangetulia kimya watu machungu yapoe ,wasiendelee kuwatonesha vidonda.
Uhalifu wenu utawatokea puani, hatuuwezi fanana maoni na fijra, ndiyo maana kuna simba na yanga,man u na arsenal
 
Kwa sisi tuonatoka naye Sehemu moja kule Iringa,tunajua kinachomfanya awe hivyo.

Kule kwetu kuna kitu kizito zaidi ya cha Arusha kinachoitwa kitaalamu "LILAMBO"

Hicho kilitumika zaidi na Mkwawa anapowatuma wanajeshi wake kwa kazi maalumu.Alikuwa anawavutisha wote kama booster ya kuwawezesha kupambana na Adui.

Lakini huyu ndugu yetu anaitumia vibaya kwa kunuia kumwezesha kuwa chawa wa mamlaka badala ya kumuongezea ujasiri chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…