😂😂😂😂 kumbaaafu na nusuKwa sisi tuonatoka naye Sehemu moja kule Iringa,tunajua kinachomfanya awe hivyo.
Kule kwetu kuna kitu kizito zaidi ya cha Arusha kinachoitwa kitaalamu "LILAMBO"
Hicho kilitumika zaidi na Mkwawa anapowatuma wanajeshi wake kwa kazi maalumu.Alikuwa anawavutisha wote kama booster ya kuwawezesha kupambana na Adui.
Lakini huyu ndugu yetu anaitumia vibaya kwa kunuia kumwezesha kuwa chawa wa mamlaka badala ya kumuongezea ujasiri chanya.
kaondoe hilo govi kwanza utakuja kusalimiwa wewe na bamia zako huko uliko😂😂😂😂 kumbaaafu na nusu