Hivi Yeriko Nyerere anatutaka nini watanzania?

Yani huyu ndo alikuwa mshahuri wa Mbowe dah! 😹

Sema kwenye vyama kuna machizi wengi ni vile wananchi tunatafuta faraja ya watu kutusemea..!!
Ila kwa sasa tutajisemea wenyewe tushaona mwanga..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbaaafu na nusu
 
Mbowe alikuwa awalea, sasa njaa imeshika hatamu, Lisu ni mtu na nusu, shenzy zote tutaziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…