Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu.

Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa.
Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ?
Maana biblia haijasema kuhusu kama aliota mbawa zikamfanya apae!

Karibuni.

Sabato njema.
 
Stupid question.

Kesho utauliza tena Yesu alitembeaje juu ya maji.
 
Kwani malaika wa mbawa ?
Quran

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu... Aliyewafanya malaika kuwa wajumbe wenye mabawa mawili, matatu na manne. Huongeza katika uumbaji apendavyo...(Surah Fatir 35:1)

Biblia
Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita: kwa mawili alifunika uso wake, kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. (Isaya 6:2)
 
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu... Aliyewafanya malaika kuwa wajumbe wenye mabawa mawili, matatu na manne. Huongeza katika uumbaji apendavyo..." (Surah Fatir 35:1)
Mie nimeuliza tu mkuu. Nataka kujua kama wana mbawa maana sijawai kuwaona
 
Back
Top Bottom