Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Stupid question.Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu.
Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa.
Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ?
Maana biblia haijasema kuhusu kama aliota mbawa zikamfanya apae!
Karibuni.
Sabato njema.
QuranKwani malaika wa mbawa ?
Mie nimeuliza tu mkuu. Nataka kujua kama wana mbawa maana sijawai kuwaonaSifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu... Aliyewafanya malaika kuwa wajumbe wenye mabawa mawili, matatu na manne. Huongeza katika uumbaji apendavyo..." (Surah Fatir 35:1)
Ndiyo Kwa mjibu wa maandiko imewataja hivyo Rudi nime editMie nimeuliza tu mkuu. Nataka kujua kama wana mbawa maana sijawai kuwaona
Ila hujawai kuwaona hao walio andikwa ? au umewi waonaNdiyo Kwa mjibu wa maandiko imewataja hivyo Rudi nime edit
Ndio maana nimeuliza mkuu maana sijui alipaajeBible haitafiriwi hivyo
Sijawahi kuwaonaIla hujawai kuwaona hao walio andikwa ? au umewi waona
Sawa mkuu.Mkuu
Tulia Hapa Hapa Nawaita Sasa Wana Theologia
Kutoka Antiokia, Galatia, Kaprinaum,
Basi sawa mkuuSijawahi kuwaona
Sahihi kabisa na kesho kutwa nitauliza alifufukaje. Swali ni hili nikiuliza hayo yoote wewe Shida yako inakuwa ni nini ?Stupid question.
Kesho utauliza tena Yesu alitembeaje juu ya maji.
Swali zuri sana hili. Unaweza kulijibu?Utauliza tena yesu aliteswaje wakati alikuwa na nguvu za kiuungu? Angewapiga upofu wote waliotaka kumtesa
Mimi sijawahi ona wanapaa Utuambie wewe uliyewaona wanapaaje?.Refer kwa wachawi wanavyoruka usiku je wanakuwa na mabawa?
Wewe ni mpumbavuSahihi kabisa na kesho kutwa nitauliza alifufukaje. Swali ni hili nikiuliza hayo yoote wewe Shida yako inakuwa ni nini ?