Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wanasema aliishi miaka 33Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Wapi ulisoma Yesu aliishi miaka 40?Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Kwa mujibu wa maandiko Yesu hakuishi miaka 40.Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Umemjibu vema kabisa ndugu👍Yaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?
Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.
Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.
Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.
Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.
Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
Huwa wanasema si yote aliyoyafanya Yesu yameandikwa, nadhani hayo ambayo hayajaandikwa yana mengi!!Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?