Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Alikuwa anamla Mary Magdalene bt hii huwezi kuipata kwenye biblia
Nyie Ndio mnaongoza kukashifu wenzenu waislam,,, wanafikiYaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?
Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.
Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.
Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.
Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.
Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
Sio mwenzakoHivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Yaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?
Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.
Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.
Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.
Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.
Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
Mitaa ya bethlehemuSwali la kipuuzi sana hili. Yesu si kama yule mtume wenu. Yesu ni mfalme wa wafalme usimlinganishe na mwanadamu yeyote
MingiiNyie Ndio mnaongoza kukashifu wenzenu waislam,,, wanafiki
mods futeni uzi huu umeharibikaAlikuwa mpiga nyeto maarufu
Mitaa ya bethlehemu
Yesu alikuwa poyoyo.Swali la kipuuzi sana hili. Yesu si kama yule mtume wenu. Yesu ni mfalme wa wafalme usimlinganishe na mwanadamu yeyote
Umeharibika vipi!!!mods futeni uzi huu umeharibika
Bos usizuie watu kuanzisha nyuziYaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?
Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.
Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.
Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.
Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.
Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
Yesu wa wapi aliyeishi miaka 40?Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Dhihaka yote ya nini kaka?Alikuwa mpiga nyeto maarufu
Mitaa ya bethlehemu
Mwache yesu ajitetee mwenyewe, unahangaika nini?Swali la kipuuzi sana hili. Yesu si kama yule mtume wenu. Yesu ni mfalme wa wafalme usimlinganishe na mwanadamu yeyote
Si mnsema yesu kama mungu haihitaji kutetewa, sasa gazeti lote hili la kumtetea, ina maana hapa kashikwa pabaya ?Yaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?
Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.
Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.
Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.
Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.
Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
wacha ujinga we mbululaUmeharibika vipi!!!
Alikuwa poyoyo.