LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
ni lazima mjinga aelimishweMwache yesu ajitetee mwenyewe, unahangaika nini?
ni lazima mjinga aelimishweMwache yesu ajitetee mwenyewe, unahangaika nini?
we nae umetoka wapi? Ndio kwanza nakuona humuYesu alikuwa poyoyo.
Mjinga ni yule anaetaka kusikia habari ya upande mmoja...ni lazima mjinga aelimishwe
Ninyi uislamu na mtume Muhammad waliwakosea nini?Dhihaka yote ya nini kaka?
Kwani YESU KRISTO amekukosea nini?
meshikwa pabaya leo mwalimuAchaga ujinga mpuuzi wee
Mkewe ni maria magdalena, ndiyo maana last supper alikuwepo,kufufuka yeye ndiyo wa kwanza kujua,alipo yesu ye yupo,wasikudanganye yesu hakuoaHivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
?Mkewe ni maria magdalena, ndiyo maana last supper alikuwepo,kufufuka yeye ndiyo wa kwanza kujua,alipo yesu ye yupo,wasikudanganye yesu hakuoa
Toa andiko yesu hakuoaMtu akiongea bila ushahidi wa maandiko naona anafanya porojo tu:
Anajiflahisha nafsi yake
Mwambie mtoa mada:Toa andiko yesu hakuoa
kivp wakati mimi ndiyo nimeuliza?Mwambie mtoa mada:
Kutokana na maandiko ya Wayahudi kueleza kuwa Masihi hakuoa:Aniambie mimi
kivp wakati mimi ndiyo nimeuliza?
hamna kitu hapa tunachomoka kiulaini tuM
meshikwa pabaya leo mwalimu
hao wanaoshindwa ni binadamu wa kawaida tu si kama Yesu KristoMjinga ni yule anaetaka kusikia habari ya upande mmoja...
Si mnasemaga haitaji kutetewa, haya mwache asimame mwenyewe.....
Atueleze ilikuwaje akaweza maana sasa wanaojaribu kuishi hivyo wameishia kubaka vitoto vidogo....
Naona bado unamtetea...hao wanaoshindwa ni binadamu wa kawaida tu si kama Yesu Kristo