Hivi Yesu aliwezaje kuishi bachelor kwa miaka 40?

Nyie Ndio mnaongoza kukashifu wenzenu waislam,,, wanafiki
 
Kuna Yule wakuitwa Magdalena inasemekana kilikuwa kipoozeo

Ila izo page anasoma Papa Vatican, Hii migebuka ya huku bado haiambui
 
Sio mwenzako
 
Sasa
 
Bos usizuie watu kuanzisha nyuzi
 
Naona maustaadhi na atheist wamevamia uzi na kuanza kukufuru.
 
Yesu wa wapi aliyeishi miaka 40?
 
Biblia tuisomayo haijakamilika,

Imeeditiwa Sana na mengi tumefichwa.

Hujawai kujiuliza,
Wale ndugu zake yesu (watoto wengine WA YUSUPH aliozaa na MKE WA kwanza kabla ya kumuona mariamu) maisha Yao mengine yalikuaje?

Ujawai kujiuliza,
Nini kikimfanya YUSUPH atengane na MKE wake WA kwanza na kuhamia Kwa mariamu?

Je, alikufa? Au Alimfumania? Au walizinguana au ni tamaa zake?

Au tuseme Mungu ndo alivunja kusudi ndoa ya kwanza ya YUSUPH ili mariamu ndo aolewe afu yesu ndo akazaliwe?

Au tuseme, YUSUPH na MKE Wake wa kwanza hawakuachana? Walitengana TU.

Inamaana, YUSUPH aliishi matala na wake wawili Kwa mkupuo? au tuseme nae alitelekeza MKE na watoto wake baada ya kunogewa na penzi jipya la mariamu?

Aisee, maswali Ni mengi mno

TUTAKESHA HAPA
 
Si mnsema yesu kama mungu haihitaji kutetewa, sasa gazeti lote hili la kumtetea, ina maana hapa kashikwa pabaya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…