Hivi Yesu aliwezaje kuishi bachelor kwa miaka 40?

Futeni huu uzi, la sivyo utajazwa matusi na kashfa
 
ni lazima mjinga aelimishwe
Mjinga ni yule anaetaka kusikia habari ya upande mmoja...
Si mnasemaga haitaji kutetewa, haya mwache asimame mwenyewe.....
Atueleze ilikuwaje akaweza maana sasa wanaojaribu kuishi hivyo wameishia kubaka vitoto vidogo....
 
Mt 19:12
Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
 
Mkewe ni maria magdalena, ndiyo maana last supper alikuwepo,kufufuka yeye ndiyo wa kwanza kujua,alipo yesu ye yupo,wasikudanganye yesu hakuoa
 
Mtu akiongea bila ushahidi wa maandiko naona anafanya porojo tu:
Anajiflahisha nafsi yake
 
Mjinga ni yule anaetaka kusikia habari ya upande mmoja...
Si mnasemaga haitaji kutetewa, haya mwache asimame mwenyewe.....
Atueleze ilikuwaje akaweza maana sasa wanaojaribu kuishi hivyo wameishia kubaka vitoto vidogo....
hao wanaoshindwa ni binadamu wa kawaida tu si kama Yesu Kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…