Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Nimesikia Redio Ila Anaweza Kuwa Tayari Wamemjaza Maana Bhudyohe (Utamu)Labda yupo pregnancy leave..
Huyu mtanganzaji toka Fiesta imefika tamati sijamsikia redioni.
Hata wenzake hawamwongelei kama anaumwa au yuko likizo au kaachishwa kazi.
Au ndo anajiandaa kuibukia redio nyingine?

LIKIZO mzee, Tafuta post yake ya IG ya wiki kama moja nyuma ame reply sana hayo maswaliHuyu mtanganzaji toka Fiesta imefika tamati sijamsikia redioni.