Hivi yuko wapi Mumie Baby

Hivi yuko wapi Mumie Baby

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348
Huyu mtanganzaji toka Fiesta imefika tamati sijamsikia redioni.

Hata wenzake hawamwongelei kama anaumwa au yuko likizo au kaachishwa kazi.

Au ndo anajiandaa kuibukia redio nyingine?
 
Hawamuongelei wapi?Adam na Kennedy leo wamemuongelea kweny Hot3.

Yah sure nilikuwa nishapost ndipo nikasikia wanamuongelea na jinsi yeye, george bantu na kennedy walivyo pata nafasi CMG
 
Kile Ni Chombo Matata Sana Kipo Sawa Sawa
 
Huyu mtanganzaji toka Fiesta imefika tamati sijamsikia redioni.

Hata wenzake hawamwongelei kama anaumwa au yuko likizo au kaachishwa kazi.

Au ndo anajiandaa kuibukia redio nyingine?
LIKIZO mzee, Tafuta post yake ya IG ya wiki kama moja nyuma ame reply sana hayo maswali
 
Back
Top Bottom