We niite vyovyote tu. Nimechoka na hii tabia ya upinzani kila siku kusifia mambo ya nje na kuwasaidia wezi wa nje dhidi ya nchi yao. Mmeumbuka leo.Hizi ni Akili za Kada wa Ccm tu.
Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!We niite vyovyote tu. Nimechoka na hii tabia ya upinzani kila siku kusifia mambo ya nje na kuwasaidia wezi wa nje dhidi ya nchi yao. Mmeumbuka leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hii ndio sababu ya kumuita Uhuru "Baba wa demokrasia"?Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Nadhani mikataba haikusainiwa na chama, inasainiwa na watu. Na hao watu wengine wako CCM na wengine wako CHADEMANi wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Chama ndicho kinatawala nchi! ILANI YA CCM ndiyo iliyofanya haya na bado iko madarakani. Walio CDM walitoka CCMNadhani mikataba haikusainiwa na chama, inasainiwa na watu. Na hao watu wengine wako CCM na wengine wako CHADEMA
Alianza vizuri juzi, jana akateleza mihemko ya kwenye jukwaa! lakini bado huwezi linganisha na nchi yoyote ya kiafrika. Hopefully atarekebisha alipoteleza.
Wa chadema ( sumaye, lowasa) maana wao walishawahi kuwa mawaziri mkuu..mkataba wa buzwagi ulisainiwa uingereza na karamagi lowasa akishuhudia..kwa maelezo zaidi muulize saed kubenea wa mwanahalisiNi wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Basi watu wote walioko upinzani ni MALAIKA wa NURU, Na INNOCENT wakombozi wanapigania wanyonge kuliko hata maisha yao binafsi na hawajawahi kulikosea TAIFA HILIChama ndicho kinatawala nchi! ILANI YA CCM ndiyo iliyofanya haya na bado iko madarakani. Walio CDM walitoka CCM
ILANI YA CCM NDIYO ILIYOTUMIKA, SIYO YA LOWASA WALA SUMAYE. MUONGOZO UNATOLEWA NA CHAMA UNAENDA KWA WATENDAJI WAKE.Wa chadema ( sumaye, lowasa) maana wao walishawahi kuwa mawaziri mkuu..mkataba wa buzwagi ulisainiwa uingereza na karamagi lowasa akishuhudia..kwa maelezo zaidi muulize saed kubenea wa mwanahalisi
Ameahidi kuwa uchaguzi huu ukiisha atawashughulikia kweli kweli (na watakiona cha mtema kuni) wale majaji "wakora". Yaliyoko kwenye mibano ni nyongeza yangu nikimuenzi Lissu.Alianza vizuri juzi, jana akateleza mihemko ya kwenye jukwaa! lakini bado huwezi linganisha na nchi yoyote ya kiafrika. Hopefully atarekebisha alipoteleza.
WAMETOKA KWENYE KUNDI LA SHETANI SASA WAKO KUNDI LA MALAIKA, WAKIRUDI TU HUKO WANAKUWA MASHETANI TENA. ANGALIA UONEVE, UVUNJWAJI WA KATIBA, SHERIA, UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU, UONEVU, UKATILI UNAOFANYIKA SASA. BADO NI CHAMA HICHO HICHO....Basi watu wote walioko upinzani ni MALAIKA wa NURU, Na INNOCENT wakombozi wanapigania wanyonge kuliko hata maisha yao binafsi na hawajawahi kulikosea TAIFA HILI
Hakuna alichogonga, bado Kenya wamejitahidi. Huwezi kumkamata mpinzani kwa uonevu kama ilivyo hapa, katiba haivunjwi hovyo hovyo kama hapa, haki za binadamu hazivunjwi wazi wazi kama hapa. Bado pamoja na mapungufu yao, wako mbele afrika nzima. Tumeoza wote, lakini kunuka tunatofautiana.Hii post braza umegonga watu kwenye nyonga..wao wanadhani demokrasia rahisi kiivyo wakati wenyewe kwenye chama tu imewashinda..halafu wanataka wenzao wa practice ili iwe njia nyepesi kwao..tutangoja kwanza iingie kwenye chama chao kisha tutaiga wanavyoitendea haki hiyo demokrasia..
Mwisho wa Siku ameheshimu Maamuzi ya mahakama
Vitu vingine usikurupuke kama umeishiwa hoja, huyu anazungumzia demokrasia, wewe unakuja na kusaini mikataba ya wizi, jenga hoja dhidi ya aliyoitoa then uanzishe mada juu ya mikataba.Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Aliyemuuzia EL chama kimagumashi mkuuNi wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Lakini ni ruksaHakuna alichogonga, bado Kenya wamejitahidi. Huwezi kumkamata mpinzani kwa uonevu kama ilivyo hapa, katiba haivunjwi hovyo hovyo kama hapa, haki za binadamu hazivunjwi wazi wazi kama hapa. Bado pamoja na mapungufu yao, wako mbele afrika nzima. Tumeoza wote, lakini kunuka tunatofautiana.
I need scientific arguments, not character assassination!