tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikasema TZ ina mapungufu mengi kiutawala. Kitu kimoja ninachompendea Magufuli ni kutowaonea watu (vizito) aibu anapoinyoosha hii nchi. Ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, ufisadi, n.k. vilikithiri na unahitaji utawala wa aina hii kurekebisha karibuni kila kitu.Kifyatu, unapoint nzuri, lakini mapenzi yanakuzidi. Huwezi rekebisha kwa kuwaua watu, kuwapoteza "kuwalaza" hapana. Kuvunja haki za binadamu, kuwaonea wapinzani, kuwaita watu vilaza (wakati na wewe ulikwama form six ndiyo maana ukaenda ualimu), kuvunja katiba, sheria etc. Jitofautishe na Idd Amin please. nadhani wewe ni wa karibu naye, mshauri. Kumekuwa na indiscriminate killings kwa siku hizi! (najua utakataa kuwa hakuna kitu kama hicho). Kimara bomoa bomoa, wana haki ya kuwa pale, amewavunjia bila kufuata sheria. Rudisha basi na nyumba za serikali tulizowagawia hawala zetu na wadogo zetu!
Nakushukuru kuwa you are arguing your position without matusi kama wenzako akila Liza and the company
Walioiba walikuwa na idhini ya nani? CCM ilikuwa na sera ya "wizi", watu walifungwa kwa kusema jamani ikataba mibovu! ilikuwa inatekelezwa na wanachama wenu, na ingelikuwa siyo figisu walifanyiwa kwenye uchaguzi, bado wangelikuwa huko huko. Huku hawajasafishwa na hawakuja kusafishwa maana walikuwa wanatekeleza maamuzi ya wakubwa zao ambao mnawafahamu kama inavyofanyika sasa. Huwezi kusaini Richmond bila ruhusa ya rais, na ndiyo maana hawatamgusa!Kwahiyo kama kama walitoka CCM maana yake makosa Walioyafanya yamefutika. Ndo maana siku hizi mnaitwa chama cha kutetea wezi. Yaani sasa hvi unaiba CCM halafu unakimbilia CDM kwenda kusafishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema akishinda uchaguzi majaji watamtambua na atawashughulia.Uhuru Kenyatta ndie Baba wa Democracia, hata hayo aliyoyazungumza kuhusu Majaji ndio sehemu ya Democrasy yenyewe, kwakuwa ametoa mawazo yake kuhusu hukumu lakini hakuuingilia mchakato wa kuifikia hukumu yenyewe. Majaji hao hawakupewa 'Maagizo kutoka juu!'
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hakuna anayesema haskuna jema lililofanyika. tatizo ni namna ya kufanya jema hilo. Ni hapo tu. Wapinzani walisema sana kuhusu ufisadi. Walilia sana kuhsu ufisadi. Anafanya vizuri, but the way he is doing that! Ni vizuri kupisha barabara, lkn hawa wana vibali vya serikali! Kuna mama ameishinda halmashauri frulani . Walimpa eneo la wazi. Akajenga. Wakambomolea akaenda mahakamani akashnda kuwa makosa ni ya serikali yeye hausiki na ulaghai wenu. Analipwa fidia!Ndio maana nikasema TZ ina mapungufu mengi kiutawala. Kitu kimoja ninachompendea Magufuli ni kutowaonea watu (vizito) aibu anapoinyoosha hii nchi. Ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, ufisadi, n.k. vilikithiri na unahitaji utawala wa aina hii kurekebisha karibuni kila kitu.
Lakini nakubaliana na wewe kwa hili la bomoa bomoa.
DSM yote inaelekea kugeuka kuwa kama Manzese kwa ajili ya watu kujijengea holela. Hii pia ni ndivyo ilivyo kwa miji mingine Tanzania. Lakini ukweli ni kuwa wengi waliojenga holela walipewa au kuuziwa haya maeneo na viongozi wa serikali za nyuma. Kwa hiyo kama serikali hii inataka kusafisha mji basi ni muhimu ijue tatizo lilisababishwa na serikali hapo nyuma.
Waathirika wa hili zoezi wanapaswa wafidiwe, wapewe maeneo mengine, wapewe muda mzuri ili wahame bila kudhalilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru kenyatta hakubaliani na maamuzi ya mahakama lakini ameyaheshimu. Ndo mana uchaguzi unarudiwa na rais karidhia.Wale walionengua na kuishinikiza TZ iige mfano mzuri wa "Baba wa Demokrasia" wa Afrika kutoka nchi jirani waje hapa wajieleze.
Nyie mlipaswa kuhudhuria kongamano la [HASHTAG]#MezaYaWazalendo[/HASHTAG] lililofanywa jana ili mjifunze maana ya UZALENDO.
kila kukicha mnadharau vyenu na kusifia vya wenzenu. Sasa msifieni tena huyu baba yenu wa demokrasia anaewatusi majaji walioamua uchaguzi urudiwe.
Uhuru kenyatta hakubaliani na maamuzi ya mahakama lakini ameyaheshimu. Ndo mana uchaguzi unarudiwa na rais karidhia.Wale walionengua na kuishinikiza TZ iige mfano mzuri wa "Baba wa Demokrasia" wa Afrika kutoka nchi jirani waje hapa wajieleze.
Nyie mlipaswa kuhudhuria kongamano la [HASHTAG]#MezaYaWazalendo[/HASHTAG] lililofanywa jana ili mjifunze maana ya UZALENDO.
kila kukicha mnadharau vyenu na kusifia vya wenzenu. Sasa msifieni tena huyu baba yenu wa demokrasia anaewatusi majaji walioamua uchaguzi urudiwe.
alisema hivyo na akafafanua kuwa atafanya uchunguzi kujua walifikiaje uamuzi uliokwenda kinyume cha matakwa ya mamillioni ya Wakenya, what's wrong with that?
Kumbe chanzo cha thread yako ni kulekule kwa Lisu. Mnakwenda kumfokea mtoto Wa jirani wakati chanzo cha matatizo mnacho ndani ya nyumba yenu? Mwambieni mtoto wenu (WAKUKURUPUKA) umetusababishia hasara halafu ndo mumfuate mpiga filimbi Lisu. Mnamwacha aliyezini mnamkomalia anayetangaza uzinzi Wa baba yenu?
ACHA nikae KIMYA...!
Ni kweli mkuu. Haya MAJITU YA AJABU hata hayajafika Uholanzi kwenye mahakama za ICC halafu yanajifaragua. Shubamitt!!
Hpo sasa ndo naona umerudi kwenye mjadala wa kitu cha ukweli mkuu.Juzi Kenyatta alianza vizuri. Ameteleza, sidhani kama ataongea maneno kama hayo tena. Hata katika hali ya kawaida, huwezi kumuita Ofisa mwenzako Mkora, ni utovu wa nidhamu wa kawaida kama kuwaita watoto vilaza, unateleza!
Kwenye bomoa bomoa hutapata ubishi toka kwangu. La, sipo karibu nae lakini najua anakusikia/anakusoma.Nadhani hakuna anayesema haskuna jema lililofanyika. tatizo ni namna ya kufanya jema hilo. Ni hapo tu. Wapinzani walisema sana kuhusu ufisadi. Walilia sana kuhsu ufisadi. Anafanya vizuri, but the way he is doing that! Ni vizuri kupisha barabara, lkn hawa wana vibali vya serikali! Kuna mama ameishinda halmashauri frulani . Walimpa eneo la wazi. Akajenga. Wakambomolea akaenda mahakamani akashnda kuwa makosa ni ya serikali yeye hausiki na ulaghai wenu. Analipwa fidia!
Kama uko karibu naye mshauri maana tunaelekea kubaya pamoja na mazuri anayoyafanya. To me as long as long as anavunja haki za binadamu, mazuri yote yatafunikwa namabaya, etc!
Heeeeh! Mkuu una uhakika na unachokisema au hukusikiliza hotuba. Hebu imagine msemo kma huu "tutawashughulikia baada ya siku sitini, lazima mabadiliko yafanyike", hii ni demokrasia, kwa hiyo kwenye demokrasia huwa kuna vitisho? Nyingine hii hapa "Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru. mkuu hebu jaribu kutofautisha kati ya demokrasia na vitisho.Uhuru Kenyatta ndie Baba wa Democracia, hata hayo aliyoyazungumza kuhusu Majaji ndio sehemu ya Democrasy yenyewe, kwakuwa ametoa mawazo yake kuhusu hukumu lakini hakuuingilia mchakato wa kuifikia hukumu yenyewe. Majaji hao hawakupewa 'Maagizo kutoka juu!'
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe basi hujamfuatilia hivi karibuni. Anamwaga radhi mitaani ile mbaya mpaka Raisi wa mawakili wa Kenya (cheo sawa na Lissu) akamuonya hadharani apunguze munkari.Uhuru kenyatta hakubaliani na maamuzi ya mahakama lakini ameyaheshimu. Ndo mana uchaguzi unarudiwa na rais karidhia.
Mbona nyie cccm mliwaibia kura na ushindi wa cuf zanziba
Aisee tanzania wameuliwa wengi tu! Au ulifurahia alipouliwa Sengondo mvungi?au alipouwawa prof mkyusa wewe uliona ni sawa tu? Wanachama na viongozi wangapi wa upinzani wameshauliwa kikatili hapa Tanzania? Warioba mwenyewe alipondwa mangumi na bashite hadharani,jiulize kama ingekuwa gizani angemfanyaje? Nani anayejua ile miili ya kwenye sandarusi iliyozikwa chapchap ilikuwa ya nani? Hivi kama miili ile ingekuwa imeokotwa kenya kipindi kama hiki mngesemaje?Lakini ni ruksa
- kumuua mkuu wa TEHAMA wa tume ya uchaguzi,
- kuchukua nywila (vidole na kiganja) zake,
- kudukua mtandao wa matokeo ya uchaguzi,
- halafu mkatae seva zenu zikaguliwe na mahakama.
Yote haya kwa jina la demokrasia, eh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe unazungumza kitu usichokijua. Dr. Mvungi alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Tafadhali usiyahusishe mauaji yake ya kinyama na serikali.Aisee tanzania wameuliwa wengi tu! Au ulifurahia alipouliwa Sengondo mvungi?au alipouwawa prof mkyusa wewe uliona ni sawa tu? Wanachama na viongozi wangapi wa upinzani wameshauliwa kikatili hapa Tanzania? Warioba mwenyewe alipondwa mangumi na bashite hadharani,jiulize kama ingekuwa gizani angemfanyaje? Nani anayejua ile miili ya kwenye sandarusi iliyozikwa chapchap ilikuwa ya nani? Hivi kama miili ile ingekuwa imeokotwa kenya kipindi kama hiki mngesemaje?
Si nyie kila leo mnatangaza the Independence ya hii mihimili mitatu.alisema hivyo na akafafanua kuwa atafanya uchunguzi kujua walifikiaje uamuzi uliokwenda kinyume cha matakwa ya mamillioni ya Wakenya, what's wrong with that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Keshapoteza huwezi kuchimba bitiAlianza vizuri juzi, jana akateleza mihemko ya kwenye jukwaa! lakini bado huwezi linganisha na nchi yoyote ya kiafrika. Hopefully atarekebisha alipoteleza.