Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

Ndio maana nikasema TZ ina mapungufu mengi kiutawala. Kitu kimoja ninachompendea Magufuli ni kutowaonea watu (vizito) aibu anapoinyoosha hii nchi. Ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, ufisadi, n.k. vilikithiri na unahitaji utawala wa aina hii kurekebisha karibuni kila kitu.

Lakini nakubaliana na wewe kwa hili la bomoa bomoa.

DSM yote inaelekea kugeuka kuwa kama Manzese kwa ajili ya watu kujijengea holela. Hii pia ndivyo ilivyo kwa miji mingine Tanzania. Lakini ukweli ni kuwa wengi waliojenga holela walipewa au kuuziwa haya maeneo na viongozi wa serikali za nyuma. Kwa hiyo kama serikali hii inataka kusafisha mji basi ni muhimu ijue tatizo lilisababishwa na serikali hapo nyuma.

Waathirika wa hili zoezi wanapaswa wafidiwe, wapewe maeneo mengine, wapewe muda mzuri ili wahame bila kudhalilika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kama kama walitoka CCM maana yake makosa Walioyafanya yamefutika. Ndo maana siku hizi mnaitwa chama cha kutetea wezi. Yaani sasa hvi unaiba CCM halafu unakimbilia CDM kwenda kusafishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walioiba walikuwa na idhini ya nani? CCM ilikuwa na sera ya "wizi", watu walifungwa kwa kusema jamani ikataba mibovu! ilikuwa inatekelezwa na wanachama wenu, na ingelikuwa siyo figisu walifanyiwa kwenye uchaguzi, bado wangelikuwa huko huko. Huku hawajasafishwa na hawakuja kusafishwa maana walikuwa wanatekeleza maamuzi ya wakubwa zao ambao mnawafahamu kama inavyofanyika sasa. Huwezi kusaini Richmond bila ruhusa ya rais, na ndiyo maana hawatamgusa!
 
Amesema akishinda uchaguzi majaji watamtambua na atawashughulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hakuna anayesema haskuna jema lililofanyika. tatizo ni namna ya kufanya jema hilo. Ni hapo tu. Wapinzani walisema sana kuhusu ufisadi. Walilia sana kuhsu ufisadi. Anafanya vizuri, but the way he is doing that! Ni vizuri kupisha barabara, lkn hawa wana vibali vya serikali! Kuna mama ameishinda halmashauri frulani . Walimpa eneo la wazi. Akajenga. Wakambomolea akaenda mahakamani akashnda kuwa makosa ni ya serikali yeye hausiki na ulaghai wenu. Analipwa fidia!
Kama uko karibu naye mshauri maana tunaelekea kubaya pamoja na mazuri anayoyafanya. To me as long as long as anavunja haki za binadamu, mazuri yote yatafunikwa namabaya, etc!
 
Uhuru kenyatta hakubaliani na maamuzi ya mahakama lakini ameyaheshimu. Ndo mana uchaguzi unarudiwa na rais karidhia.

Mbona nyie cccm mliwaibia kura na ushindi wa cuf zanziba
 
Uhuru kenyatta hakubaliani na maamuzi ya mahakama lakini ameyaheshimu. Ndo mana uchaguzi unarudiwa na rais karidhia.

Mbona nyie cccm mliwaibia kura na ushindi wa cuf zanziba
 

Huu wala sio ushabiki toka kwangu. Kwa kweli Lissu atakiua/anakiua chama. Mvuto wa CDM unaporomoka sana kwa wananchi wa kawaida ambao ndio wapigakura wengi.

Unaweza kunipuuzia na kunielekeza Lumumba nikachukue buku 7 zangu lakini huo ndio ukweli wenyewe.
 
Juzi Kenyatta alianza vizuri. Ameteleza, sidhani kama ataongea maneno kama hayo tena. Hata katika hali ya kawaida, huwezi kumuita Ofisa mwenzako Mkora, ni utovu wa nidhamu wa kawaida kama kuwaita watoto vilaza, unateleza!
Hpo sasa ndo naona umerudi kwenye mjadala wa kitu cha ukweli mkuu.
 
Kwenye bomoa bomoa hutapata ubishi toka kwangu. La, sipo karibu nae lakini najua anakusikia/anakusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeeeh! Mkuu una uhakika na unachokisema au hukusikiliza hotuba. Hebu imagine msemo kma huu "tutawashughulikia baada ya siku sitini, lazima mabadiliko yafanyike", hii ni demokrasia, kwa hiyo kwenye demokrasia huwa kuna vitisho? Nyingine hii hapa "Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru. mkuu hebu jaribu kutofautisha kati ya demokrasia na vitisho.
 
Uhuru kenyatta hakubaliani na maamuzi ya mahakama lakini ameyaheshimu. Ndo mana uchaguzi unarudiwa na rais karidhia.

Mbona nyie cccm mliwaibia kura na ushindi wa cuf zanziba
Wewe basi hujamfuatilia hivi karibuni. Anamwaga radhi mitaani ile mbaya mpaka Raisi wa mawakili wa Kenya (cheo sawa na Lissu) akamuonya hadharani apunguze munkari.

Ile swaga ya u-cool imekwisha yote na sasa anawatishia hawa majaji kuwa watakiona cha mtema kuni akichaguliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee tanzania wameuliwa wengi tu! Au ulifurahia alipouliwa Sengondo mvungi?au alipouwawa prof mkyusa wewe uliona ni sawa tu? Wanachama na viongozi wangapi wa upinzani wameshauliwa kikatili hapa Tanzania? Warioba mwenyewe alipondwa mangumi na bashite hadharani,jiulize kama ingekuwa gizani angemfanyaje? Nani anayejua ile miili ya kwenye sandarusi iliyozikwa chapchap ilikuwa ya nani? Hivi kama miili ile ingekuwa imeokotwa kenya kipindi kama hiki mngesemaje?
 
Usiwe unazungumza kitu usichokijua. Dr. Mvungi alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Tafadhali usiyahusishe mauaji yake ya kinyama na serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alisema hivyo na akafafanua kuwa atafanya uchunguzi kujua walifikiaje uamuzi uliokwenda kinyume cha matakwa ya mamillioni ya Wakenya, what's wrong with that?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si nyie kila leo mnatangaza the Independence ya hii mihimili mitatu.

Sasa iweje mhimili wa URAIS uchunguze maamuzi ya mhimili wa MAHAKAMA halafu wawashughulikie.

Anamaanisha nini, kuwashughulikia?
 
Hapa acha kuangalia maneno ya jukwaani ambayo ni kampeni.
Kikubwa angalia ukabali wake wa maamuzi ya mahakama
Jinsi alivyo ruhusu mahakama iwe huru kutoa uamuzi.
Hapo ndipo democrasia ilipolala.
La alikuwa na uwezo wa kuwashinikiza hata kwa kuateka kama ccm walivyofanya kwa jecha na kuwalazimisha majaji kuamua upande wake.
Hivyo basi bado kinyatta ni baba wa democrasia ambayo tunapaswa kuiga toka kwake si hapa tunaposema eti kuna muhimili uliojichimbia zaidi, wazo dhaifu sana la kiongozi wa nchi kutamka
 
Alianza vizuri juzi, jana akateleza mihemko ya kwenye jukwaa! lakini bado huwezi linganisha na nchi yoyote ya kiafrika. Hopefully atarekebisha alipoteleza.
Keshapoteza huwezi kuchimba biti

Majaji kwenye public alafu wananchi

wakuangalie tu ataaibika vibaya sana

huyu kwenye marudio ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…