Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

MODS.

I am disappointed kuihamisha hii mada kwenye jukwaa la Kenya. Hii mada ilihusu siasa za Tanzania pekee.

Kenyans are going through trying times at the moment. There is no need to add more stress by bringing our (TZ) internal political bickerings.

Whoever (in JF) decides to merge or move topics should be considerate and have the decency not to rub salt on neighbor's wounds.

You have demonstrated very poor taste by moving this posting to Kenya forum. It has nothing to do with Kenyan elections and everything to do with party politics in Tanzania.

I protest in the strongest terms possible.

I am sorry my Kenyan brothers and sisters. Someone in JF decided to kick you while you are down.

THIS WILL BE MY LAST RESPONSE TO THIS TOPIC.
Sent using Jamii Forums mobile app
I
 
Nyie mkibanwa huwa hamna jipya zaidi ya kurudiarudia hivyo viswali vya kipuuzi, we hujui kiranja aliyeongoza kusaini mikataba ya wizi ndio kanunua chama chenu, na mwenzake mwenye mahekari asiyoyalima wote wamehamia kwenu na mmewasafisha kweli kweli! Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.
Mpuuzi mama yako na baba yako. acha matusi ukinitukana nitakutukana tusi lolote
 
Retired, jitahidi kubadilika ujibu hoja kama mtu mzima, mwenye weredi na umakini. Unadai wanachama wa chama hicho ndio waliosaini mikataba ya wizi!!! Una uthibitisho huo, au umeandika tu kutoka ndotoni!

Kwamba watumishi wote ni wanachama cha hicho chama, au ni sera ya hicho chama! Du! Usijifanye hamnazo!
Naandika kwa weledi mkubwa. Miradi mikubwa kama hiyo ya richmond inapitishwa na baraza la mawaziri with presidents concent! Nyumba za serikali haziwezi kuuzwa bila consent ya Rais na baraza la mawaziri... rais being mwenyekiti! Sizungumzii kugawa viwanja mara mbili kando ya reli, NO. Kuna vitu ambavyo vina consent ya Rais na baraza la mawaziri. Acha vitu vidogo vidogo.
 
Naandika kwa weledi mkubwa. Miradi mikubwa kama hiyo ya richmond inapitishwa na baraza la mawaziri with presidents concent! Nyumba za serikali haziwezi kuuzwa bila consent ya Rais na baraza la mawaziri... rais being mwenyekiti! Sizungumzii kugawa viwanja mara mbili kando ya reli, NO. Kuna vitu ambavyo vina consent ya Rais na baraza la mawaziri. Acha vitu vidogo vidogo.
Kwa hiyo unataka kusemaje kiranja mkuu?
 
Kwa hiyo unataka kusemaje kiranja mkuu?
Sitaki matusi, sitaki matusi. Jibu hoja. If you can not sustain making a point, pass as if nothing seen rather than engaging in abusive languages! Enjoy your evening !
 
Sitaki matusi, sitaki matusi. Jibu hoja. If you can not sustain making a point, pass as if nothing seen rather than engaging in abusive languages! Enjoy your evening !
Tusi ni lipi hapo?
 
Hawezi kuwa baba wa democrasia tena imedhiirika

kwamba ni mnafiki na akishindwa uchaguzi sidhani

kama atakubali kuachia kiti huyu.
Labda kwakua humpendi la bado ni baba wa democrasia Africa
Hata odinga aliposhindwa mahakamani kipindi kile aliishutumu mahakama.
Kukubali tu na kutoa nafasi ifanye kazi yake ni democrasia tosha
 
Wewe basi hujamfuatilia hivi karibuni. Anamwaga radhi mitaani ile mbaya mpaka Raisi wa mawakili wa Kenya (cheo sawa na Lissu) akamuonya hadharani apunguze munkari.

Ile swaga ya u-cool imekwisha yote na sasa anawatishia hawa majaji kuwa watakiona cha mtema kuni akichaguliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kwa debe saa hii.
 
Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!

Lowassa na sumaye wapo wapi shem
 
JPM Kabana. Sasa mnakimbilia kwa hoja mbovu kabisa hata kigoli hawezi kuanza nayo. Eti CCM. Chama bila mtz mwenye will power hakiwezi kukupa hata chupi. Na pili na ndo muhimu zaidi. Maendeleo unaanza nayo wewe. Kwa umbeya umbeya wewe hata akiba Trump hutaendelea rjea Mange
 
ILANI YA CCM NDIYO ILIYOTUMIKA, SIYO YA LOWASA WALA SUMAYE. MUONGOZO UNATOLEWA NA CHAMA UNAENDA KWA WATENDAJI WAKE.
The same kwenye katiba yenu inayompa mwenyekiti kugombea bila kikomo! Na kutokuruhusu mwanachama yoyote kufungua kesi mahakamani inayo kihusu chama hakika chama chenu kina katiba bora sana Africa na dunia nzima..
na kinaongozwa na watu watakatifu sana ambao hawajawahi kuwa na tuhuma yoyote ya ubadhirifu.. ambao mkiwapa Taifa hili kwa kutumia katiba ya chama chao na viongozi wao Tutapiga hatua kubwa sana kidemokrasia..
hehehehheheheehheherrrr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom