Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

Usilete Propaganda ni Kweli Uhuru alikosea sana Kuwatisha Majaji, Nadhani alikuwa amelewa huo ni udhaifu wake. Ila Angekuwa ni Magufuli Watu wasiojulikana ( his stooges) wangeshamfyatua huyo Jadge Kama Tundu Lissu! Ukweli ni Kuwa Uhuru hazuii Mikutano, hakamatikamati watu ovyo ukiacha Babu owino! Na hana Ukauzibe wa Kisiasa wa kujifanya ati siasa mpaka uchaguzi Mkuu wakayi yeye ni Siasa 24/7

Uhuru havunji Nyumba za Watu kwa kuwa tu Ni wachagga!
Uhuru hatumi brainless kuvamia TV
Uhuru havunji Bustani za mboga za Raila
Uhuru hakamati watu walioota ndoto
Uhuru hapigi watu Risasi (Najua issue ya Kisandu, he wanted Kuiba Uchaguzi for Raila kwa alogarithm kama Yule Rev. Alivyoiba wa Tanzania kwa Alogarithm 2015 na akazawadiwa Vikali)
Uhuru hakamati kamati wapinzani ovyo!
Uhutu hazuiii watoto wakike kusoma Kisa Mimba! Tena Mimwaname inayowapa watoto mimba ndio iamue hilo?
Uhuru hateki watu
 
una uhakika na unayoyasema??
Nani kamuua Musando mkurugenzi wa tehama.
nani aliyemfyatulia risasi yule mbunge wa kule Mombasa.
nani anayefyatulia risasi waandamanaji?
nani anayegonga na gari wakenya masikini.
tafakari kwa kina bila kuegemea upande wowote.
 
Kama hukuwa umelewa wakati unaandika haya, basi akili yako haipo sawa sawa
 
una uhakika na unayoyasema??
Nani kamuua Musando mkurugenzi wa tehama.
nani aliyemfyatulia risasi yule mbunge wa kule Mombasa.
nani anayefyatulia risasi waandamanaji?
nani anayegonga na gari wakenya masikini.
tafakari kwa kina bila kuegemea upande wowote.

Nakubali Unahoja, Uhuru Alitaka kuiba Ushindi na Raila pia hivyo hivyo, Ila walizidiana. Mimi sio Mnafiki. Na anayofanya Uhuru na Ruto sasa sio sawa! Ila he was real Democratic!

Nicheki hapa! Nilishamsema Tangu mapema!
 
Achana nae uyo kwasababu chadema wana mapenzi nae ndio maana wamenyamaza kimya mkuu.
 
Wale walionengua na kuishinikiza TZ iige mfano mzuri wa "Baba wa Demokrasia" wa Afrika kutoka nchi jirani waje hapa wajieleze.

Nyie mlipaswa kuhudhuria kongamano la [HASHTAG]#MezaYaWazalendo[/HASHTAG] lililofanywa jana ili mjifunze maana ya UZALENDO.

Nyie kila kukicha mnadharau vyenu na kusifia vya wenzenu. Sasa msifieni tena huyu baba yenu wa demokrasia anaewatusi majaji walioamua uchaguzi urudiwe.
Kawatusije??
 
Basi watu wote walioko upinzani ni MALAIKA wa NURU, Na INNOCENT wakombozi wanapigania wanyonge kuliko hata maisha yao binafsi na hawajawahi kulikosea TAIFA HILI
Naunga mkono mkuu.
 
Ipo kama ya yule aliyemfanya babayoko nyuma
U wish, Unavyotumia Rectum kama mtaji ccm na Makalio yako kama Ngao kwa kuwa huna kifua basi unadhani kila mtu ni Anainamiwa kama wewe! Na kufanyiwa mambo ya aibu! By the way Matusi ni Ishara ya nini unajua? Mini nadhani vimiminika za Wakina bashite vimekosea njia na kukuingia kwenye ubongo! Which brain? Sorry namaanisha vikmekuingia kwenye fuvu!
Bye!
 
Mungu akusaidie, tutaendelea kukuombea
 
We niite vyovyote tu. Nimechoka na hii tabia ya upinzani kila siku kusifia mambo ya nje na kuwasaidia wezi wa nje dhidi ya nchi yao. Mmeumbuka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimebaki kujibu hoja zao za hovyo hovyo tu,kila kukicha, kwa sababu zinatokana na:
1) Tabia ya kitoto
2) Akili mgando
3) Mawazo tegemezi
4) Fikra fikirishi
5) Mapenzi kwa viongozi wao wasiojitambua
 
Usilete Propaganda ni Kweli Uhuru alikosea sana Kuwatisha Majaji, Nadhani alikuwa amelewa huo ni udhaifu wake. Ila Angekuwa ni Magufuli Watu wasiojulikana ( his stooges) wangeshamfyatua huyo Jadge Kama Tundu Lissu! Ukweli ni Kuwa Uhuru hazuii Mikutano, hakamatikamati watu ovyo ukiacha Babu owino! Na hana Ukauzibe wa Kisiasa wa kujifanya ati siasa mpaka uchaguzi Mkuu wakayi yeye ni Siasa 24/7

Uhuru havunji Nyumba za Watu kwa kuwa tu Ni wachagga!
Uhuru hatumi brainless kuvamia TV
Uhuru havunji Bustani za mboga za Raila
Uhuru hakamati watu walioota ndoto
Uhuru hapigi watu Risasi (Najua issue ya Kisandu, he wanted Kuiba Uchaguzi for Raila kwa alogarithm kama Yule Rev. Alivyoiba wa Tanzania kwa Alogarithm 2015 na akazawadiwa Vikali)
Uhuru hakamati kamati wapinzani ovyo!
Uhutu hazuiii watoto wakike kusoma Kisa Mimba! Tena Mimwaname inayowapa watoto mimba ndio iamue hilo?
Uhuru hateki watu
Nyamaza tu juu unaongea Ujinga

Simple change you twitter location to Kenya and see what is trending Uhuru is worse than Magufuli...

Uses lawyers to And Majority in parliament to change laws to favour his party

Kills demonstrators and Teargasses children in schools anyway....We have no Legitimate leaders in East Africa ...maybe sychelles ......
 
Hayo mambo ya mitaani huwa sifwatilii kwani huwa hayana ushahidi
Nipe corruption case moja Kuoe bongo ama Bribery case moja kule bongo ambayo ina ushahidi !!....smh do you know how bribery works??? The essence is to not get caught in the act....this is why

Kenya and even the entire East africa lies in the bottom 50 kwa most corrupt countries in the world lakini wanaoishi ndani wanajiona angels
 
Nyamaza tu juu unaongea Ujinga

Simple change you twitter location to Kenya and see what is trending Uhuru is worse than Magufuli...

Uses lawyers to And Majority in parliament to change laws to favour his party

Kills demonstrators and Teargasses children in schools anyway....We have no Legitimate leaders in East Africa ...maybe sychelles ......

I agree with you, Magufuli ni Dictator Uchwara na Uhuru naye sasa Ni Dictator Uchwara, Na kama Ilivyosemwa Wakati Fulani Atakayeikomboa Tanzania sasa Ni Lowassa Mtu Wa Watu na mnyenyekevu. Magufuli asiruhusiwe agombee 2020 by any means
 
Nakubali Unahoja, Uhuru Alitaka kuiba Ushindi na Raila pia hivyo hivyo, Ila walizidiana. Mimi sio Mnafiki. Na anayofanya Uhuru na Ruto sasa sio sawa! Ila he was real Democratic!

Nicheki hapa! Nilishamsema Tangu mapema!

le me help you to conclude.
uhuru has, never at any point in time, been democratic leader. what made him to look like a democratic President was a prevailed situation. the country had no tension, was calm. and if we recall an old adage, a calm sea never made a skilful sailor. so what you see now is a true Kenyatta.
 
le me help you to conclude.
uhuru has, never at any point in time, been democratic leader. what made him to look like a democratic President was a prevailed situation. the country had no tension, was calm. and if we recall an old adage a calm sea never made a skilful sailor. so what you see now is a true Kenyatta.
And what is Magufuli You just done describing Uhuru, Tell me about Autistic, Coward Dictator Magufuli ,are you not vexed by him as well? Tanzania was so calm whe he took over look what yall got now!
 
Back
Top Bottom