Hivi yule roboti aliefika bungeni kaishia wapi au amekufa au kazi anafanyia wapi?

Hivi yule roboti aliefika bungeni kaishia wapi au amekufa au kazi anafanyia wapi?

What if akikutukana? Unajua vitu kama vile ni Vimeo,Kuna dogo huko uzunguni aliambiwa na roboti kuwa ," we dogo ni takataka Katika jamii,bora ufe"
Duh sio vyepes ivyo mkuu
 
Back
Top Bottom