Hivi, yupo Mwanafalsa kumzidi anayeitwa Yesu?

Hivi, yupo Mwanafalsa kumzidi anayeitwa Yesu?

No one like Him
Aah wapi,
Ni sawa na useme NO ONE LIKE RUNGWE (mzee WA ubwabwa)

Wakati Wewe unaona mwamba kabarikiwa kuhamasisha UBWABWA nchi nzima kwasababu una njaa zako.

Wenzio tunaona jamaa Ni kama kadata, Hana sera, analeta kampeni za kitoto kabisa.

Nchi Ina matatizo lukuki, yeye kakomaa tu na ubwabwa nchi nzima
 
Namchukulia Socrates, Newton na Einstein kuwa the greatest of all.

Huku chini kina faraday, plank na Plato ndio wanaonistajaabisha.

Huyo jamaa namuona wa kawaida mno kama Mtikila wetu tu.
Mtikila mbona ana nafuu,Kama zito TU.
Yessu alikua mpinzani, ila muoga Balaa.

Kumbuka alipoulizwa khs uhalali wa kulipia ushuru, alijibu kisiasa badala ya kunyooka.

Eti "ya kaisari, mpatie kaisari"

Wakati huo huo anasisitiza waamini wake wamtolee Mungu sadaka hizo hizo zenye sura ya kaisari.

Akienda kwingine, anajitapa mali zote na pesa za wayahudi Ni miliki ya baba ake alie mbinguni.

Unabaki kujiuliza, Hivi baba Yako anamiliki vipi Mali anayoona kabisa Ina sura ya mwanaume mwingine?
 
Mtikila mbona ana nafuu,Kama zito TU.
Yessu alikua mpinzani, ila muoga Balaa.

Kumbuka alipoulizwa khs uhalali wa kulipia ushuru, alijibu kisiasa badala ya kunyooka.

Eti "ya kaisari, mpatie kaisari"

Wakati huo huo anasisitiza waamini wake wamtolee Mungu sadaka hizo hizo zenye sura ya kaisari.

Akienda kwingine, anajitapa mali zote na pesa za wayahudi Ni miliki ya baba ake alie mbinguni.
Hii imenipa fikra mpya kabisa
 
Yesu hamna Cha maana alichofanya duniani kiasi Cha kumuita mwana falsafa.

Labda wanaomwita yesu mwanafalsafa, wanukuu falsafa yoyote ya YESSU inayotumika Sasa.

Au watwambie yesu aliacha mchango gani ktk Hii dunia tuliyomo Sasa ukilinganisha na wenzie kina Einstein,Issac newton, Tesla n.k
 
Fikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko;

Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano."

Jawabu jingine;

Sikuja kuwaita wema bali walio wakosefu."

Mengi majibu yake aliyajibu kwa namna iliyokuwa vigumu kwa mtu mwenye upeo mdogo wa kung'amua mambo kuweza kumuelewa.

Je, yupo mwanafalsa aliyepata kuishi kumzidi huyo mwamba kwa mujibu wa maandiko?
Confucius
 
Hii imenipa fikra mpya kabisa
Yule bwana mdogo alikua na shida upstairs,ndo maana wayahudi huwa hawamtambui.

Wayahudi wanamtambua Mussa TU, na Mussa aliwaambia atakuja nabii mwingine kumpokea kijiti na akawapa sifa na dalili za nabii huyo.

Ukichunguza vizuri, Yesu Hana sifa Wala dalili Moja kati ya zote alizoziacha Mussa.

Wayahudi wanaamini mkombozi atakuja, Ila sio yesu huyu waliemsulubisha msalabani Kwa kosa la uhaini (kujiita mfalme)
 
Ukimchunguza vzur Lissu,

Mahakamani ilikua ngumu Sana kumtia hatiani, kabla hajaropoka ashajua wapi pa kuchomokea.

The same Kwa yesu,
Kauli zake nyingi zilikua dilema endapo utamfikisha kwny vyombo vya Sheria na haki,

Ndo maana hakimu wa kwanza hakuona kosa lolote kwa Yesu, akampotezea tu (hakukua na ushahid WA Moja kw moja kumtia hatiani).

Shaur lake lilivorudishwa Kwa jaji Ambae ni kada mtiifu Kwa mamlaka, akaushusha mkeka wa hukumu Kwa jazba bila kupepesa macho.

aisee, kilichomkuta YESU baada ya hukumukutoka, NDO MAANA MPAKA LEO HAWEZI THUBUTU KURUDI
Ma shaa Allah, Falsafa zote mnazomsifia halafu hamumfati mambo yake.
.Yesu hajala nguruwe nyinyi mnakula nguruwe.
 
Wakati wa Yesu hakukuwa na Serikali ya kiyahudi.. Acha ujinga..
Yesu namchulia kama Lissu TU,

Ni bwana mdogo flani alieamua kulewa umaarufu na kujitoa ufahamu kuendesha harakati uchwara zinazokinzana na itikadi za serikali ya kiyahudi iliyokua madarakani.

Matokeo yake, Alivuka mipaka na wayahudi wakaamua kumuadhibu kwa misumari nchi 6 msalabani Kama vibaka wengine wa kiyahudi
 
Yule bwana mdogo alikua na shida upstairs,ndo maana wayahudi huwa hawamtambui.

Wayahudi wanamtambua Mussa TU, na Mussa aliwaambia atakuja nabii mwingine kumpokea kijiti na akawapa sifa na dalili za nabii huyo.

Ukichunguza vizuri, Yesu Hana sifa Wala dalili Moja kati ya zote alizoziacha Mussa.

Wayahudi wanaamini mkombozi atakuja, Ila sio yesu huyu waliemsulubisha msalabani Kwa kosa la uhaini (kujiita mfalme)
Hitler akataka alipe kisasi kwa kuwafyeka wayahudi wote
 
Fikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko;

Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano."

Jawabu jingine;

Sikuja kuwaita wema bali walio wakosefu."

Mengi majibu yake aliyajibu kwa namna iliyokuwa vigumu kwa mtu mwenye upeo mdogo wa kung'amua mambo kuweza kumuelewa.

Je, yupo mwanafalsa aliyepata kuishi kumzidi huyo mwamba kwa mujibu wa maandiko?
Yupo, ni mtume Muhammad (s.a.w) yeye ana ni mwana Falsafa na pia doctor,
1) tumbo lina na 3, ya chakula, hewa na maji
2) ujana ni nusu ya uchizi
3) anapoingia inzi ktk chakula, upande wa kushoto basi mzamishe na upande wa kulia ( upande 1 wa nzi una sumu na upande wa kulia una dawa, na ni proved na modern science)
4) ukimuua mjusi unapata swawabu ( proved kuwa ana sumu Kali)
5)swali hujibiwa kwa swali
6) kusoma ukiwa mzee sawa na kua ndika ktk Bahari lakini kusoma ukiwa kijana sawa na kua ndika ktk jabari
7) usilalie kitanda/mkeka nk bila ya kutandika(kung'uta) tena huku ukisoma dua
Note; huyu mwamba ndio bingwa wa Falsafa hana mpinza zipo nyingi na zipo proved na wataalam wa kisasa na wanashangaa aliwezaje kujua yote haya
 
Ma shaa Allah, Falsafa zote mnazomsifia halafu hamumfati mambo yake.
.Yesu hajala nguruwe nyinyi mnakula nguruwe.
Wakristo wangekua na Imani iliyonyooka, Hata nguruwe hawakupaswa kumla, maana wanajua kabisa nabii wao alimtupia mapepo yote aliyoyatoa Kwa binadamu (unakulaje nyama yenye mapepo?)

Ila Hata nanyi waislamu, sijawahi kuelewa mantiki yenu halisi ya kukataa kumla yule mdudu.

Labda dada Faiza nafahamishe tafadhali
 
Back
Top Bottom