Yupo, ni mtume Muhammad (s.a.w) yeye ana ni mwana Falsafa na pia doctor,
1) tumbo lina na 3, ya chakula, hewa na maji
2) ujana ni nusu ya uchizi
3) anapoingia inzi ktk chakula, upande wa kushoto basi mzamishe na upande wa kulia ( upande 1 wa nzi una sumu na upande wa kulia una dawa, na ni proved na modern science)
4) ukimuua mjusi unapata swawabu ( proved kuwa ana sumu Kali)
5)swali hujibiwa kwa swali
6) kusoma ukiwa mzee sawa na kua ndika ktk Bahari lakini kusoma ukiwa kijana sawa na kua ndika ktk jabari
7) usilalie kitanda/mkeka nk bila ya kutandika(kung'uta) tena huku ukisoma dua
Note; huyu mwamba ndio bingwa wa Falsafa hana mpinza zipo nyingi na zipo proved na wataalam wa kisasa na wanashangaa aliwezaje kujua yote haya