Aah wapi,No one like Him
Ulimwengu bado upo na haujakombolewa.Jiwe walilolikataa waashii
KRISTO YESU MWOKOZI WA ULIMWENGU
I LOVE 💕 YOU
Mtikila mbona ana nafuu,Kama zito TU.Namchukulia Socrates, Newton na Einstein kuwa the greatest of all.
Huku chini kina faraday, plank na Plato ndio wanaonistajaabisha.
Huyo jamaa namuona wa kawaida mno kama Mtikila wetu tu.
Hii imenipa fikra mpya kabisaMtikila mbona ana nafuu,Kama zito TU.
Yessu alikua mpinzani, ila muoga Balaa.
Kumbuka alipoulizwa khs uhalali wa kulipia ushuru, alijibu kisiasa badala ya kunyooka.
Eti "ya kaisari, mpatie kaisari"
Wakati huo huo anasisitiza waamini wake wamtolee Mungu sadaka hizo hizo zenye sura ya kaisari.
Akienda kwingine, anajitapa mali zote na pesa za wayahudi Ni miliki ya baba ake alie mbinguni.
ConfuciusFikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko;
Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano."
Jawabu jingine;
Sikuja kuwaita wema bali walio wakosefu."
Mengi majibu yake aliyajibu kwa namna iliyokuwa vigumu kwa mtu mwenye upeo mdogo wa kung'amua mambo kuweza kumuelewa.
Je, yupo mwanafalsa aliyepata kuishi kumzidi huyo mwamba kwa mujibu wa maandiko?
Kwako.Hayupo na hatakuwepo
Yule bwana mdogo alikua na shida upstairs,ndo maana wayahudi huwa hawamtambui.Hii imenipa fikra mpya kabisa
Ma shaa Allah, Falsafa zote mnazomsifia halafu hamumfati mambo yake.Ukimchunguza vzur Lissu,
Mahakamani ilikua ngumu Sana kumtia hatiani, kabla hajaropoka ashajua wapi pa kuchomokea.
The same Kwa yesu,
Kauli zake nyingi zilikua dilema endapo utamfikisha kwny vyombo vya Sheria na haki,
Ndo maana hakimu wa kwanza hakuona kosa lolote kwa Yesu, akampotezea tu (hakukua na ushahid WA Moja kw moja kumtia hatiani).
Shaur lake lilivorudishwa Kwa jaji Ambae ni kada mtiifu Kwa mamlaka, akaushusha mkeka wa hukumu Kwa jazba bila kupepesa macho.
aisee, kilichomkuta YESU baada ya hukumukutoka, NDO MAANA MPAKA LEO HAWEZI THUBUTU KURUDI
Yesu namchulia kama Lissu TU,
Ni bwana mdogo flani alieamua kulewa umaarufu na kujitoa ufahamu kuendesha harakati uchwara zinazokinzana na itikadi za serikali ya kiyahudi iliyokua madarakani.
Matokeo yake, Alivuka mipaka na wayahudi wakaamua kumuadhibu kwa misumari nchi 6 msalabani Kama vibaka wengine wa kiyahudi
Hitler akataka alipe kisasi kwa kuwafyeka wayahudi woteYule bwana mdogo alikua na shida upstairs,ndo maana wayahudi huwa hawamtambui.
Wayahudi wanamtambua Mussa TU, na Mussa aliwaambia atakuja nabii mwingine kumpokea kijiti na akawapa sifa na dalili za nabii huyo.
Ukichunguza vizuri, Yesu Hana sifa Wala dalili Moja kati ya zote alizoziacha Mussa.
Wayahudi wanaamini mkombozi atakuja, Ila sio yesu huyu waliemsulubisha msalabani Kwa kosa la uhaini (kujiita mfalme)
Wewe ndie uliemlea?Ma shaa Allah, Falsafa zote mnazomsifia halafu hamumfati mambo yake.
.Yesu hajala nguruwe nyinyi mnakula nguruwe.
Yupo, ni mtume Muhammad (s.a.w) yeye ana ni mwana Falsafa na pia doctor,Fikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko;
Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano."
Jawabu jingine;
Sikuja kuwaita wema bali walio wakosefu."
Mengi majibu yake aliyajibu kwa namna iliyokuwa vigumu kwa mtu mwenye upeo mdogo wa kung'amua mambo kuweza kumuelewa.
Je, yupo mwanafalsa aliyepata kuishi kumzidi huyo mwamba kwa mujibu wa maandiko?
Wakristo wangekua na Imani iliyonyooka, Hata nguruwe hawakupaswa kumla, maana wanajua kabisa nabii wao alimtupia mapepo yote aliyoyatoa Kwa binadamu (unakulaje nyama yenye mapepo?)Ma shaa Allah, Falsafa zote mnazomsifia halafu hamumfati mambo yake.
.Yesu hajala nguruwe nyinyi mnakula nguruwe.
Hizo ni nyepesi snaMpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari.. Na mpeni Mungu yaliyo yake Mungu..
Kwani wee Unaelewa Nini, ukiambiwa neno"serikali"Wakati wa Yesu hakukuwa na Serikali ya kiyahudi.. Acha ujinga..