Basi acheni kutoa sadaka buku buku zenye sura ya nyerere uko makanisani kwenu.Mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari.. Na mpeni Mungu yaliyo yake Mungu..
Hivi mkuu Ile habari ya mabikra 72 nayo Ni falsafa mtume s.a.w au kina shehe kipozeo Huwa wanatupanga🤔Yupo, ni mtume Muhammad (s.a.w) yeye ana ni mwana Falsafa na pia doctor,
1) tumbo lina na 3, ya chakula, hewa na maji
2) ujana ni nusu ya uchizi
3) anapoingia inzi ktk chakula, upande wa kushoto basi mzamishe na upande wa kulia ( upande 1 wa nzi una sumu na upande wa kulia una dawa, na ni proved na modern science)
4) ukimuua mjusi unapata swawabu ( proved kuwa ana sumu Kali)
5)swali hujibiwa kwa swali
6) kusoma ukiwa mzee sawa na kua ndika ktk Bahari lakini kusoma ukiwa kijana sawa na kua ndika ktk jabari
7) usilalie kitanda/mkeka nk bila ya kutandika(kung'uta) tena huku ukisoma dua
Note; huyu mwamba ndio bingwa wa Falsafa hana mpinza zipo nyingi na zipo proved na wataalam wa kisasa na wanashangaa aliwezaje kujua yote haya
Sio wayahudi TU, Hitler alikua psychopath yule. Ulaya nzima walionja joto lake.Hitler akataka alipe kisasi kwa kuwafyeka wayahudi wote
Kwa hiyo hizo bukubuku tukupe wewe..??Basi acheni kutoa buku buku zenye sura ya nyerere uko makanisani.
Leteni noti zenu zenye sura ya Mungu wenu
Nguruwe genisis yao ni watu kama mimi na wewe (wayahudi) kisa kimesimuliwa ktk quraan, na walimuomba nabii wapo (kama kumbu kumbu zangu zipo sawa alikua mtume Issa (a.s) , ALLAH (s.w) akawapa kile walicho omba na wakapewa sharti, lakini waka vunja hayo mashart, walipo amka asubuhi wanajiona nguruwe na manyani, mtume wao akawasemesha na kuwauliza mbona mmefanya tofauti basi walishindwa kuongea wakatoa ishara za kukubali kosa, waliishi siku kadhaa then wakafa wote.Wakristo wangekua na Imani iliyonyooka, Hata nguruwe hawakupaswa kumla, maana wanajua kabisa nabii wao alimtupia mapepo yote aliyoyatoa Kwa binadamu.
Ila Hata nanyi waislamu, sijawahi kuelewa mantiki yenu halisi ya kukataa kumla yule mdudu.
Labda dada Faiza nafahamishe tafadhali
Ni Mali ya serikali ya Tanzania, Kama ilivokua sarafu ya serikali ya wayahudi chini ya kaisari.Kwa hiyo hizo bukubuku tukupe wewe..??
Unajua maana ya "mwanafalsafa(phylosopher)"? Kama basis ya ku mterm kama mwanafalsafa ni majibu ya mafumbo aliyokuwa anatumia basi wanafalsafa ni wengi tu kuna hawa pamoja na kazi zao zilizojaa mafumboFikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko;
Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano."
Jawabu jingine;
Sikuja kuwaita wema bali walio wakosefu."
Mengi majibu yake aliyajibu kwa namna iliyokuwa vigumu kwa mtu mwenye upeo mdogo wa kung'amua mambo kuweza kumuelewa.
Je, yupo mwanafalsa aliyepata kuishi kumzidi huyo mwamba kwa mujibu wa maandiko?
Masharti gani ayo?Nguruwe genisis yao ni watu kama mimi na wewe (wayahudi) kisa kimesimuliwa ktk quraan, na walimuomba nabii wapo (kama kumbu kumbu zangu zipo sawa alikua mtume Issa (a.s) , ALLAH (s.w) akawapa kile walicho omba na wakapewa sharti, lakini waka vunja hayo mashart, walipo amka asubuhi wanajiona nguruwe na manyani, mtume wao akawasemesha na kuwauliza mbona mmefanya tofauti basi walishindwa kuongea wakatoa ishara za kukubali kosa, waliishi siku kadhaa then wakafa wote.
Note nguruwe ana shaabiana na binaadamu ki biology (proved by science)
Haina haja ya nantiki ya yeyote zaidi ya kumsoma Mwenyewe Mwenyezi Mungu aliyeharamisha. Sababu ipo wazi kabisa:Wakristo wangekua na Imani iliyonyooka, Hata nguruwe hawakupaswa kumla, maana wanajua kabisa nabii wao alimtupia mapepo yote aliyoyatoa Kwa binadamu (unakulaje nyama yenye mapepo?)
Ila Hata nanyi waislamu, sijawahi kuelewa mantiki yenu halisi ya kukataa kumla yule mdudu.
Labda dada Faiza nafahamishe tafadhali
Ok, waliomba wapewe chakula chenye hadhi, siyo tu chakula bali iwe meza iliyosheni Vyakula vizuri sna tena itoke mbinguni direct (kwa ALLAH s.w) , yaani hawa kutaka chakula kipikwe duniani, nabii wao aka waombe hao watu wake (wayahudi) meza ikaja wakala Na wakatosheka na ilikua almost wiki lakini waliambiawa na Allah wasifiche hicho chakula badala yake wawapelekee wenzao, walipopewa sharti wali kubali lakini kama Kawaida yao, wakaamua kuficha chakula, ndipo Allah akawafanya kuwa nguruwe na manyani. Mkuu hyo ni quraan nimekumegea at leastMasharti gani ayo?