SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Ice prince Zamani. Kimyaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mkwaju unamwezi tangia autoee alikuwa anaumwa koo kama ommy dimpoz tuu .. sasa amerudi kwenye game .. View attachment 1286025
burnaBoy,Patoranking au pia nawakubaliBuma na patoranking je
Hii video naikubali sana nikiicheki full kusmile jamaa uchezaji wako ni wa kipekee sijawahi ona [emoji28]
Ndio jinsi Simu za Tecno zinavyochujaga ivo
Siku ya kwanza nasikia ngoma inaitwa Duro kutoka kwa Tekno nikasema hii ni hit haiitaji maelezo.
Hakuishia hapo zilifuata ngoma zilizonamba Afrika na zikavuka boda mastaa kibao wa Mamtoni walijirekodi wakicheza.
Hivi yupo wapi Tekno wa kipindi cha nyuma..
Tekno ya Duro, Wash, Diana, Pana, Where, Go, Jogodo, Yawa N.k
Kwa speed ya kipindi kile cha nyuma kidogo Afrika ilianza kumtabiria makubwa kwamba anakuja kuuvunja ufalme wa Davido na StarBoy Wizkid. Japo inaitaji ulale Studio kuwamaliza hao jamaa.
Kwa sasa Naona Tekno Amerudi nyuma kidogo sisikii hit kama zile za mwanzo. hii ngoma yake mpya na Zlatan ina miezi kama miwili na bado ina Views Million 3 youtube.
Wakati Mkwaju kama Pana umejizolea Youtube Viewa milion 115.
Game Ngumu? Au kalizika? Au kuna Jambo linakuja kutoka kwa Tekno?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio jinsi Simu za Tecno zinavyochujaga ivo
Jamaa nomasana,bit zake za kipekee,mond huwa anaiga style za kucheza kutoka kwa jamaaHii video naikubali sana nikiicheki full kusmile jamaa uchezaji wake ni wa kipekee sijawahi ona [emoji28]
Ni msanii/mwanamuziki Wa nigeria anapiga nyimbo za miondoko/genre ya Afro_pop.. ni producer pia.Huyo tekno ni wa nchi gani mkuu? Anapiga nyimbo gani?
Kcee mtoto wa kishua,yeye braza ake wana kazi ya kula bata tu,kama Omari Madimpoz Joho.Kcee ndio alishalidhika kabisa,nyimbo moja kwa mwaka,di'ja tangu atoe hit ya "awww" alishapotea kabisa
Nigeria mziki Afro BeatsHuyo tekno ni wa nchi gani mkuu? Anapiga nyimbo gani?
Huyo ni dancer pia usishangaeHii video naikubali sana nikiicheki full kusmile jamaa uchezaji wake ni wa kipekee sijawahi ona [emoji28]