Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Bora Mweusi niji danganye nikiwa Africa kwa Waafrica, ajili ya Waafrica!!! kuliko Muarabu koko kujidanganya kwa wa AFRICA akiwa si wa asili ya Africa!! haaminiki!! .... Umoja wa Africa hautaujua kwa sababuAcha kujidanganya Africa haiwezi kuwa moja na haitokuwa moja, wewe ukifika kenya kama hauna vibali unarudishwa kwenu, hivyo hivyo kwa Mkenya akija hapa, sasa hizi porojo zako sijui unamdanganya nani? Msaada sio sababu ya kutawala kwangu , ukimaliza kunisaidia unaendelea na shughuliii yako, Wadanganyika ni watu wa waliotoa sadaka nchi yao kwa ujinga na tamaa, yaani bila aibu Zanzibar ipo lakini Tanganyika hakuna halafu mtu anaona sawa haya masikitiko makubwa sanaaaaaaa ahahahhaha, nje ya Muungano Wadanganyika ni wakimbizi wasio na nchi
Moja ulisoma na kukariri madrasa yenu hiyo!! hukusoma Historia kifupi huna shule nzuri.
pili Africa kamwe haita kaa ikuhusu wewe! siyo bara lako mama!! ukienda ulaya utaulizwa unatoka wapi lkn mimi wakiniona tu wanjua!! napotoka!
Tatu wewe ni damu ya wauza watu, tena mko mashuhuri Duniani
SISi waafrica ni wamoja km ifuatavyo kwa uchache tu'' najua hukusoma, masomo yetu hayakuhusu...
East africa community huijui ajili ya chuki au sababu EAC siyo yako'
SADACC
Ecowas.
AU zamani OAU baba lao!!
AY nk;
Siyo tunarudishwa nchini tuliko toka, bali unapewa na kazi kabisaaaa!! mke makazi nk Mpango huyo hapo ni mnya rwanda hana kazi? Jiwe Mrundi tumempa kazi! kafa tumemzika , Mimi hapa ni mu ETHIOPIA hasa nina kazi nzuri Bongo.
Ajabu sasa wewe haujulikani hata wende wapi Africa hiii!! hauna utmbulisho, utarudishwa tu, wanajua ndo walee wa kujilipua kwa jinsi ulivyo na midevuuu! ukienda kenya, au popote Africa hii unarudishwa tu make ni Muarabu KOKO!! haukawii kujilipua~!
Gaidi si gaidi yaani hovyo hovyo tu!! kifupi nyie ndo hamna kwenu umeamua kujisema!! pole saaaana!!! Lkn sisi angalia South mpaka west Africa tuna tamba!! hakuna wasiwasi! twacheza muziki na wanatujua mnatuonea Geleeee!!! na badoo!!
''Wakombozi wa Africa bara lao Mama'' tetetetet pole muarabu koooo!!! mnaanza chokochoko Zanzibar tena ajili ya wivu wenu tu! usio isha! mafuta yanaanz a kupuuzwa mnajirudisha huku hatuwataki tutawapiga mpaka mkome!