Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Sijakosa nchi mimi ri nchi langu hili kuuubwa hivi!! nimekosa?? wewe umerogwa nini? nchi yangu haijatolewa kafara na haitatolewa kafara nailinda ikiwa ni pamoja na zanzibar yangu!! leteni fyoko muone km hamjakimbia uchi kurudi kwenu Ugiriki!!Hasira za kukosa nchi ndio zinakutesa mdanganyika, nani alikwambia uitoe kafara nchi yako kisa muungano? huo ni ujinga wako usituropokee sisi, hoja hiko pale Zanzibar ni nchi kamili, mamluki hawaitajiki kwenye nafasi za maamuzi, wanaruhusiwa kuishi kama wageni wengine ilo hatuna shida nalo , na kukumbusha uhai wa nchi yako ni miaka 3 baada ya uhuru wake, usimlaumu mtu kwa ujinga huo wa kuuza nchi kwa muungano
Kwanza nako huko ugiriki hawawataki, sababu mliua watu nyie ....