Acha uongo wewe, Dr Mpango alivyoapishwa tu kuwa VP, maneno ya kaanza sio Mtanzania ni Mrundi, mpaka Zitto akamwaga povu kali sanaaaaaaa, maana anaona mmezidi kila mzaliwa wa Kigoma ni Mrundi, huku mnabaguana weeee ,lakini Mzanzibari akidai haki yake mnamuita mbaguzi
Sikia dogo Zanzibar siyo ya waarabu koko!! ukitaka amani rudi Ugiriki, humu mtapata Taabu sana nakuapia!! Mpango si huyo hapo Mrundi ndiyo! Muafrica mweusi tii! anakula Maisha, safi sana damu yetu hiyo.
Africa moja km hujui sisi kamwe hatuwapingi warundi, wanyarwanda na kwa taarifa yako hatutawapinga Warundi wala wa kenya, wala wazaire Bacongo! wala yeyote Muafrica...
mtapata taabu sana hii mipaka iliwekwa na nguruwe weupe tu!! hatukuwa hivyo lk sisi Lugha yetu Bantu ni moja, Ukisikia nchi ya Levant yetu ilianzia kuleeee!! Iraq ya leo Mpaka zimbabwe!! ndiyo Mungu alitupatia.
Najua huna raha tunavojaliana waafrica , hata hapa unajaribu kufanya uchochezi ili tupigane na kuchukiana lakini waaapi!! mnamtumia Zito lkn wapi!! Namshauri Zito Awalie hela zenu sana, awachote akili sana , asiogope pa kukimbilia papo tutamlinda mwenzetu huyo!
Narudia tena Africa yote kusini mwa Sahara ni wa Baba Mmoja sijakosea narudia tena......kama mimi ni Mghana Lkn niko Bongo nakula Maisha bila wasi baadae naenda Ethiopia hakuna wa kuhoji make tuna fanana wote!! wewe Muarabu koko hatufananiiii hataa...
Nyie mnataka zanzibar kwa sababu mko km kunguru popote mnastukiwa mnachukiwa kwa vitendo vya Babu zenu dhidi ya watu weusi hamtakaa kwa amani Duniani hamfananii Uafrica... hata huko Ugiriki jamaa zenu hawawataki sijui mna nini?? kimavi au!!!
Mtakimbia kimbia weee!! mpak mnakufa ghafla!! yule sultani alipofukuzwa karudi Yemeni tu. kule napo ndugu zake wakamfukuza akaishia uingereza yaani hampendani hii yote sababu ya Damu na madhila mliyowafanyia waafrica, hamtakuwa na kikao Duniani.
kiufupi sasa mnatuonea wivu jinsi tunavo pendana na umoja wetu wa kujaliana mnatamani mfe , angalia sisi Mpango unamuonea wivu anaishi zaidi ya km kwao tu hapa japo ni Mburundi!! na kamwe hakuna wa kumgusa ndiyo ni Mburundi,
Mbona wako wengi tu humu Watusi, Nyerere kwa mfano ni mtusi, Jiwe alikuwa Msudani akakimbilia Rwanda baadae TZ, huyo hapo tumemzika,, Mwinyi Mngazija, JK kikwete Alitokea Iraq huyo hapo anakula Maisha na ole wako umguse tunakuua!!
Waruri wote wale ni waganda, wakurya wote wale ni wa Sudani, Wajaluo , Zulu, wangoni wamasai ni wa asili ya Egypt, wa barbaig ni wayahudi original wa kale unatuonea wivu...wivu ndo hivo tena hkn njia. gusa uone!
kifupi sisi wote humu ni wayahudi original isipokuwa nyie Waarabu koko!! asili yenu ni Cauccus Mountain huko Asia Mashariki ndiko babu zenu walikotoka. msitupatie shida sisi. ndo maana ya asili neno Cauccasians mnavoitwa.
Ukishindwa saana kajinywee kasumu kako upotee tu!! lkn siyo kudai zanzibar yetu! eti ni ya kwenu mweee!! bin thubuuutu!!