Hivi Zanzibar wao wanaagiza mafuta wapi? Mbona wao mafuta aina yote ni 2000 na point?

Hivi Zanzibar wao wanaagiza mafuta wapi? Mbona wao mafuta aina yote ni 2000 na point?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
788
Reaction score
1,743
Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti?

Au wao wanachimba mafuta?
 
Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti? Au wao wanachimba mafuta?
Muwe mnaelewa,mafuta sio ishu ya Muungano,on top of that policy za Mafuta kutoka Nchi moja kwenda Nyingine ni tofauti..

Kwenye Lita moja , Serikali ya Muungano imeweka sh.900 kama Kodi na tozo nk Ili kusapoti maendeleo mengine,huko Zanzibar hakuna ,hiyo ndio inaleta tofauti.
 
Ni kweli wengi hawaelewi lakini pia sio tatizo lao kwakuwa walishaaminishwa kuwa bara na visiwani ni nchi moja so wanashangaa inakuwaje kuna tofauti?

Muungano hauna mantiki na ni unyonyaji tu. Bara tunaumia kwasababu ya visiwani. Muungano hauna tija kwa bara.
 
Ni kweli wengi hawaelewi lakini pia sio tatizo lao kwakuwa walishaaminishwa kuwa bara na visiwani ni nchi moja so wanashangaa inakuwaje kuna tofauti?

Muungano hauna mantiki na ni unyonyaji tu. Bara tunaumia kwasababu ya visiwani. Muungano hauna hauna tija kwa bara.
Unaomua kwa sababu ya Visiwani kiaje?
 
Unaomua kwa sababu ya Visiwani kiaje?
Mkuu kwa jibu ulilotoa hapo juu naimani ni moja ya watu wanaofahamu muungano wetu ulivyo na ni vipi bara inaumia na haifajidi chochote kwenye muungano.

Sina cha zaidi cha kukuambia ila ukweli ndio huo na hili jambo huwa ni kama ni taboo kulizungumzia sijui kuna maagano gani. Ila kwa mimi huu muungano uvunjwe tu hata leo.
 
Mkuu kwa jibu ulilotoa hapo juu naimani ni moja ya watu wanaofahamu muungano wetu ulivyo na ni vipi bara inaumia na haifajidi chochote kwenye muungano. Sina cha zaidi cha kukuambia ila ukweli ndio huo na hili jambo huwa ni kama ni taboo kulizungumzia sijui kuna maagano gani. Ila kwa mimi huu muungano uvunjwe tu hata leo.
Mimi nachojua Bara inaitambua Zanzibar kama sehemu ya Tanzania yenye mamlaka ya ndani ambazo ziko kisheria ndio maana kuna Rais kule..

Faida sio lazima iwe ya kiuchumi hata ki geopolitical ni faida pia.
 
Kutambua ni sawa kisheria inatambulika lakini hata hiyo unayosema Geo-politically hatufaidi chochote. Kwani tuna maadui to the East tuseme kuwa Zanzibar ina serve kama frontier garrison kwetu?

Katika nyanja zote. Politically, socially, economically, demographically et cetera Zanzibar haina faida kwa bara.
 
Meanwhile zenji hakuna kiwanda cha sukari chenye uzalishaji mkubwa wa sukari ukiondoa cha Bakhresa ila sukari ni bei nafuu sana kuzidi upande wa bara ambako wanajinasibu kuwa na viwanda vikubwa vya sukari.

Tutegemee itafika siku zenji unga wa sembe utakuwa nafuu kuliko bara.

Mafuta ya kkupikia ngano na bidhaa nyingine.

Zenji wapo njema sana muda utaongea
 
Mkuu kwa jibu ulilotoa hapo juu naimani ni moja ya watu wanaofahamu muungano wetu ulivyo na ni vipi bara inaumia na haifajidi chochote kwenye muungano. Sina cha zaidi cha kukuambia ila ukweli ndio huo na hili jambo huwa ni kama ni taboo kulizungumzia sijui kuna maagano gani. Ila kwa mimi huu muungano uvunjwe tu hata leo.
Muungano uvunjwe kwa sababu kuna tofauti ya bei kwenye bidhaa?.
 
Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti?

Au wao wanachimba mafuta?
wese nasikia sio suala la muungano
 
Back
Top Bottom