Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 788
- 1,743
Muwe mnaelewa,mafuta sio ishu ya Muungano,on top of that policy za Mafuta kutoka Nchi moja kwenda Nyingine ni tofauti..Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti? Au wao wanachimba mafuta?
Ni kweli wengi hawaelewi lakini pia sio tatizo lao kwakuwa walishaaminishwa kuwa bara na visiwani ni nchi moja so wanashangaa inakuwaje kuna tofauti?Muwe mnaelewa,mafuta sio ishu ya Muungano,on top of that policy za Mafuta kutoka Nchi moja kwenda Nyingine ni tofauti..
Kwenye Lita moja , Serikali ya Muungano imeweka sh.900 kama Kodi na tozo nk Ili kusapoti maendeleo mengine,huko Zanzibar hakuna ,hiyo ndio inaleta tofauti.
Unaomua kwa sababu ya Visiwani kiaje?Ni kweli wengi hawaelewi lakini pia sio tatizo lao kwakuwa walishaaminishwa kuwa bara na visiwani ni nchi moja so wanashangaa inakuwaje kuna tofauti?
Muungano hauna mantiki na ni unyonyaji tu. Bara tunaumia kwasababu ya visiwani. Muungano hauna hauna tija kwa bara.
Asante kwa ufafanuzi murua safi sanaMuwe mnaelewa,mafuta sio ishu ya Muungano,on top of that policy za Mafuta kutoka Nchi moja kwenda Nyingine ni tofauti..
Kwenye Lita moja , Serikali ya Muungano imeweka sh.900 kama Kodi na tozo nk Ili kusapoti maendeleo mengine,huko Zanzibar hakuna ,hiyo ndio inaleta tofauti.
Mkuu kwa jibu ulilotoa hapo juu naimani ni moja ya watu wanaofahamu muungano wetu ulivyo na ni vipi bara inaumia na haifajidi chochote kwenye muungano.Unaomua kwa sababu ya Visiwani kiaje?
Mimi nachojua Bara inaitambua Zanzibar kama sehemu ya Tanzania yenye mamlaka ya ndani ambazo ziko kisheria ndio maana kuna Rais kule..Mkuu kwa jibu ulilotoa hapo juu naimani ni moja ya watu wanaofahamu muungano wetu ulivyo na ni vipi bara inaumia na haifajidi chochote kwenye muungano. Sina cha zaidi cha kukuambia ila ukweli ndio huo na hili jambo huwa ni kama ni taboo kulizungumzia sijui kuna maagano gani. Ila kwa mimi huu muungano uvunjwe tu hata leo.
Kutambua ni sawa kisheria inatambulika lakini hata hiyo unayosema Geo-politically hatufaidi chochote. Kwani tuna maadui to the East tuseme kuwa Zanzibar ina serve kama frontier garrison kwetu?Mimi nachojua Bara inaitambua Zanzibar kama sehemu ya Tanzania yenye mamlaka ya ndani ambazo ziko kisheria ndio maana kuna Rais kule..
Faida sio lazima iwe ya kiuchumi hata ki geopolitical ni faida pia.
Na hasa pale unapoona bara imevaa fulana ya kisiwa imeandikwa zanNi kweli wengi hawaelewi lakini pia sio tatizo lao kwakuwa walishaaminishwa kuwa bara na visiwani ni nchi moja so wanashangaa inakuwaje kuna tofauti?
Muungano uvunjwe kwa sababu kuna tofauti ya bei kwenye bidhaa?.Mkuu kwa jibu ulilotoa hapo juu naimani ni moja ya watu wanaofahamu muungano wetu ulivyo na ni vipi bara inaumia na haifajidi chochote kwenye muungano. Sina cha zaidi cha kukuambia ila ukweli ndio huo na hili jambo huwa ni kama ni taboo kulizungumzia sijui kuna maagano gani. Ila kwa mimi huu muungano uvunjwe tu hata leo.
Soma ueleweMuungano uvunjwe kwa sababu kuna tofauti ya bei kwenye bidhaa?.
wese nasikia sio suala la muunganoJamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti?
Au wao wanachimba mafuta?