cc MK254Kiukweli nikilinganisha na daladala zetu hapa bongo nashindwa kuwaelewa wakenya. Zile matatuu zao ni mabasi fulani hivi yamekaa muundo wa kiajabu sana. Sio wa karne hizi bali ni karne ya 19. Nilikuwa kule wakati fulani nikayaona na kuyapanda. Mengine huoni mbele wala nyuma ukiwa umepanda. Halafu yana rangi za ajabu kama kinyonga. Na yanafanya safari zake ndani ya jiji la Nairobi
Ndio haya haya. Yakianza kuchakaa utayajuta. Cheki na hizo rangiAti karne ya 19, ni ubishi tu watafuta wewe. Hebu linganisha haya:-
Madaladala ya dar
Matatu ya Nairobi
Zipi zake Vasco da Gama?
From rotating floor projector screens to aquariums: Top 10 hottest matatus of 2015
Zile matatuu nimezipanda. Kwa kweli daladala ni bora zaidi sema tu zinajaza sanaMa-three...odion, afya center, eastleigh...embaa
Back to topic...huwezi linganisha matatu na daladala kwasababu kwanza ziko pimped sana yaani flat screen, wifi, music system etc. Pili watu hawasimami wanakaa mpaka konda ana-seat yake na pia nauli ipo juu kati ya ksh 40 mpaka 80 kutegemea na muda na unapokwenda.
Pia zina swagg flani hivi kwahiyo zina_appeal kwenye lifestyle...
Kuhusu design kuna bodybuilder company nyingi sana Kenya ambazo zinatengenza body za semi_trailer, mabasi, ma3 etc. Kama Lshs
Kwahivo nadhani yakwao ni mazuri kuliko hizi toyota coaster za bongo ambazo watu husimama wakati no fupi, seat zimeongezwa kimagumashi etc
kuna pesa nyingi sana znatengenezwa kutokana na huo uchumi wa kueka madoido na kuchezesha mzikiHongera zao kama wanaunda bodi wenyewe ila wapunguze hayo madoido maana hayana tija kwa karne hii
Naam, kila kitu huzeeka na ndio maana Matatu asilimia kubwa ni takriban mwaka moja tu kwa uzee. Kisha angalia madaladala yenyewe yashachakaa pindi yawekwapo barabarani, sasa yakizeeka kutakuaje.Ndio haya haya. Yakianza kuchakaa utayajuta. Cheki na hizo rangi
hamna kitu hapooo.....>>>>> yamejaa kunguni hayo maboksi
Hayo ya Nairobi ni malori,na ya Dar ni mabasiCosta za Dar ndo wazilinganisha na hizi za Nairobi? ?? Hahahaha...
La, hawa watu wako crius sio mchezo. Yani hata kuwe na kascratch kadogo tu, mbio mbio inakuwa fixed. Magari zimetunzwa sawa sawa.Ndio haya haya. Yakianza kuchakaa utayajuta. Cheki na hizo rangi