Ma-three...odion, afya center, eastleigh...embaa
Back to topic...huwezi linganisha matatu na daladala kwasababu kwanza ziko pimped sana yaani flat screen, wifi, music system etc. Pili watu hawasimami wanakaa mpaka konda ana-seat yake na pia nauli ipo juu kati ya ksh 40 mpaka 80 kutegemea na muda na unapokwenda.
Pia zina swagg flani hivi kwahiyo zina_appeal kwenye lifestyle...
Kuhusu design kuna bodybuilder company nyingi sana Kenya ambazo zinatengenza body za semi_trailer, mabasi, ma3 etc. Kama Lshs
Kwahivo nadhani yakwao ni mazuri kuliko hizi toyota coaster za bongo ambazo watu husimama wakati no fupi, seat zimeongezwa kimagumashi etc