Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

Curitiba_BRT_RIT_550PINHEIRINHOCARLOSGOMES_B12M.JPG Ati ndio ulinganishe hayo malori ya kenya?
Curitiba_BRT_RIT_550PINHEIRINHOCARLOSGOMES_B12M.JPG
 
Ma-three...odion, afya center, eastleigh...embaa

Back to topic...huwezi linganisha matatu na daladala kwasababu kwanza ziko pimped sana yaani flat screen, wifi, music system etc. Pili watu hawasimami wanakaa mpaka konda ana-seat yake na pia nauli ipo juu kati ya ksh 40 mpaka 80 kutegemea na muda na unapokwenda.

Pia zina swagg flani hivi kwahiyo zina_appeal kwenye lifestyle...

Kuhusu design kuna bodybuilder company nyingi sana Kenya ambazo zinatengenza body za semi_trailer, mabasi, ma3 etc. Kama Lshs

Kwahivo nadhani yakwao ni mazuri kuliko hizi toyota coaster za bongo ambazo watu husimama wakati no fupi, seat zimeongezwa kimagumashi etc
Hizo Siti Za Makonda Huwa Zinakaliwa Na Abiria Ndugu. Tena Kuna Matatuu Kipanya Style Huwa Zinapiga Ruti Nje Kidogo Ya Jiji Kama Westlands. Hizi Ni Shida. Zinashona Na Siti Zake Zimebanwa Mno Hadi Kupanda Kero.
 
La, hawa watu wako crius sio mchezo. Yani hata kuwe na kascratch kadogo tu, mbio mbio inakuwa fixed. Magari zimetunzwa sawa sawa.
Ingekuwa Hivyo Yasingekuwa Na Kunguni Aka Bedbugs
 
Du! Hiyo ya rangi ya udhurungi imekaa Kama Mende WA choo I![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeona Eh, Hapo Wenyewe Huwaambii Kitu
 
Wana body fabricators kibao huko,hata buses nyingi wanaundia kenya mfano bansal,master,cff na wengine.

Na pia wana advantage ya kua wana assemble isuzu na canter hapo hapo.
 
Kwa hivyo ulianzisha hii mada kiuzushi, siyo? Hizo unasema ulipanda ulipokuwa Nairobi zilikuwa na kunguni? Sema tu ukweli.
A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.

Mkuu hiyo si maneno yangu. Ni ya huko huko
 
A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.

Mkuu hiyo si maneno yangu. Ni ya huko huko
Kukitokea habari kuwa baadhi ya mahoteli Dar ni machaff, kiasi cha hata kueneza mgonjwa, je, nitakuwa sawa kudhania ni takriban mahoteli zote Dar ziko katika hali hiyo mbaya kiusafi, ikngawaje naona hapo neno "baadhi" limetumika?
Hata taarifa lenyewe umenukuu hapo imesema baadhi za matatu, na kutaja maeneo ambayo yameathirika, na kuongezea ya kwamba matatu zilizoathirika zaidi ni zile mzee zenye nauli ya chini haswa.

Hili ni taarifa la zamani, na ninasadiki idara husika na stakeholders kwenye hilo sector tayari walishachukua hatua kupunguza kero hilo.


Hebu hata tazama kwenye taarifa yenyewe...

"A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.
According to conductors plying the routes, passengers unknowingly carry the pests and 'deposit' them in the matatus.
The bedbugs are also said to be transferred by city tenants relocating using public transport.
According to a report by the Standard, commuters shy away from boarding vehicles suspected to be infested by the bedbugs.
“These parasites are now threatening to cripple our business since many people fear to board public service vehicles,” said Chrispin Omollo, a conductor.
It is claimed that old matatus with sponge seats play host to most of the pests. Such matatus are usually preferred by a majority of city residents due to their relatively lower fares.
Following the infestation, most matatus now have stickers urging passengers to contact the respective SACCOs for fumigation services.
Matatu Welfare Association Chairman Dickson Mbugua has urged Nairobi residents to file complaints with bus companies whenever they notice bedbugs.
nairobinews"
.




Sasa bwana Nchi Kavu, nakuomba usikwepe swali langu. Ni kweli hizo mabasi unasema uliyapanda ukiwa nNairobi zilikuwa na kunguni? Ulishuhudia kero hili wewe?
 
Hatujali hata kama nyinyi watanzania hampendi matatu zetu, we love them the way they are......with all their chaotic appearance and loudness....

1398457_622614017781972_1755736586_o.jpg


nawakucarter.jpg


mat-art.jpg


IMG_20150321_17404202.jpg


CZuM2SEW0AAWuXy.jpg
 


Mkuu naomba uniambie kuhusu historia ya matatu na ilikuwaje mpk kenya ikawa vile

Kwakua kwa ufahamu wangu matatu ni zaid ya gari. Ni lifestyle fulani hivi iliyochanganya hip hop car enthusiasm(wanayapimp kama gar binafsi) Na ukenya flani hivi.

Umaweza kunipa historia ya hizi gar toka zimeanza na ilikuwaje zikakubalila kwenu. Katika hili hakuna ligi. Kenya thumbs up. East african brothers
 
Ni noma zile gari kuzipimp ni be8 kuliko hata gari yenyewe ikiwa yard na ndani mziki wake hamsikilizani
 
seriously hawa jamaa wanacompare hizi mathree za naii na coster za dar.....wacheni mchezo bana
 
Hatujali hata kama nyinyi watanzania hampendi matatu zetu, we love them the way they are......with all their chaotic appearance and loudness....

1398457_622614017781972_1755736586_o.jpg


nawakucarter.jpg


mat-art.jpg


IMG_20150321_17404202.jpg


CZuM2SEW0AAWuXy.jpg
Aisee! Why all this mess? Mkipanda gari plain tu kuna kitu mnapungukiwa?
 
Kiukweli nikilinganisha na daladala zetu hapa bongo nashindwa kuwaelewa wakenya. Zile matatuu zao ni mabasi fulani hivi yamekaa muundo wa kiajabu sana. Sio wa karne hizi bali ni karne ya 19. Nilikuwa kule wakati fulani nikayaona na kuyapanda. Mengine huoni mbele wala nyuma ukiwa umepanda. Halafu yana rangi za ajabu kama kinyonga. Na yanafanya safari zake ndani ya jiji la Nairobi

 
Aisee! Why all this mess? Mkipanda gari plain tu kuna kitu mnapungukiwa?
Kwa mwanabiashara yeyote lazima awekeze....... Ili mwenye matatu apate hela lazima atoe hela,,,,,tena kwa sana. Matatu ambazo hazina interior nzuri,exterior, rangi,graffiti, WiFi, mziki uliochujwa,tweeters,woofer,flat screen, zingine zina hata cctv cameras, zingine zina visimbusi / vingamuzi,mufflers,taa za rangi-rangi wakati wa usiku siti nzuri,zingine zina tablets ama screens ndogo kwa kila siti......the list is endless! Kama jinsi mdau mmoja alivyosema,zipo ambazo hazina manjonjo,nauli yake ipo chini saaaana, ila huchukua muda mrefu kujaa. Kipato kitakuwa kidogo kwa mwenye matatu. Kwa mfano Matatu iliyopambwa inaweza tengeneza trip 10, ya kawaida Labda nusu yake. Hii ndio MATATU CULTURE!
 
Back
Top Bottom