Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Kiukweli nikilinganisha na daladala zetu hapa bongo nashindwa kuwaelewa wakenya. Zile matatuu zao ni mabasi fulani hivi yamekaa muundo wa kiajabu sana. Sio wa karne hizi bali ni karne ya 19. Nilikuwa kule wakati fulani nikayaona na kuyapanda. Mengine huoni mbele wala nyuma ukiwa umepanda. Halafu yana rangi za ajabu kama kinyonga. Na yanafanya safari zake ndani ya jiji la Nairobi