Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Si unacheki hata kwenye hiyo taarifa umepost wamesema ni zile matatu cheap na mzee ndio ziko na hiyo shida, sio hizo matatu "manyanga".hamna kitu hapooo.....>>>>> yamejaa kunguni hayo maboksi
Hizo Siti Za Makonda Huwa Zinakaliwa Na Abiria Ndugu. Tena Kuna Matatuu Kipanya Style Huwa Zinapiga Ruti Nje Kidogo Ya Jiji Kama Westlands. Hizi Ni Shida. Zinashona Na Siti Zake Zimebanwa Mno Hadi Kupanda Kero.Ma-three...odion, afya center, eastleigh...embaa
Back to topic...huwezi linganisha matatu na daladala kwasababu kwanza ziko pimped sana yaani flat screen, wifi, music system etc. Pili watu hawasimami wanakaa mpaka konda ana-seat yake na pia nauli ipo juu kati ya ksh 40 mpaka 80 kutegemea na muda na unapokwenda.
Pia zina swagg flani hivi kwahiyo zina_appeal kwenye lifestyle...
Kuhusu design kuna bodybuilder company nyingi sana Kenya ambazo zinatengenza body za semi_trailer, mabasi, ma3 etc. Kama Lshs
Kwahivo nadhani yakwao ni mazuri kuliko hizi toyota coaster za bongo ambazo watu husimama wakati no fupi, seat zimeongezwa kimagumashi etc
Ati karne ya 19, ni ubishi tu watafuta wewe. Hebu linganisha haya:-
Madaladala ya dar
Matatu ya Nairobi
Zipi zake Vasco da Gama?
From rotating floor projector screens to aquariums: Top 10 hottest matatus of 2015[/IMG]
Kwa hivyo ulianzisha hii mada kiuzushi, siyo? Hizo unasema ulipanda ulipokuwa Nairobi zilikuwa na kunguni? Sema tu ukweli.Ingekuwa Hivyo Yasingekuwa Na Kunguni Aka Bedbugs
A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.Kwa hivyo ulianzisha hii mada kiuzushi, siyo? Hizo unasema ulipanda ulipokuwa Nairobi zilikuwa na kunguni? Sema tu ukweli.
Kukitokea habari kuwa baadhi ya mahoteli Dar ni machaff, kiasi cha hata kueneza mgonjwa, je, nitakuwa sawa kudhania ni takriban mahoteli zote Dar ziko katika hali hiyo mbaya kiusafi, ikngawaje naona hapo neno "baadhi" limetumika?A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.
Mkuu hiyo si maneno yangu. Ni ya huko huko
zinavutia vijana bana,hiyo ni business strategy.ata izo plain pia zikoAisee! Why all this mess? Mkipanda gari plain tu kuna kitu mnapungukiwa?
Kiukweli nikilinganisha na daladala zetu hapa bongo nashindwa kuwaelewa wakenya. Zile matatuu zao ni mabasi fulani hivi yamekaa muundo wa kiajabu sana. Sio wa karne hizi bali ni karne ya 19. Nilikuwa kule wakati fulani nikayaona na kuyapanda. Mengine huoni mbele wala nyuma ukiwa umepanda. Halafu yana rangi za ajabu kama kinyonga. Na yanafanya safari zake ndani ya jiji la Nairobi
Kwa mwanabiashara yeyote lazima awekeze....... Ili mwenye matatu apate hela lazima atoe hela,,,,,tena kwa sana. Matatu ambazo hazina interior nzuri,exterior, rangi,graffiti, WiFi, mziki uliochujwa,tweeters,woofer,flat screen, zingine zina hata cctv cameras, zingine zina visimbusi / vingamuzi,mufflers,taa za rangi-rangi wakati wa usiku siti nzuri,zingine zina tablets ama screens ndogo kwa kila siti......the list is endless! Kama jinsi mdau mmoja alivyosema,zipo ambazo hazina manjonjo,nauli yake ipo chini saaaana, ila huchukua muda mrefu kujaa. Kipato kitakuwa kidogo kwa mwenye matatu. Kwa mfano Matatu iliyopambwa inaweza tengeneza trip 10, ya kawaida Labda nusu yake. Hii ndio MATATU CULTURE!Aisee! Why all this mess? Mkipanda gari plain tu kuna kitu mnapungukiwa?