Hivi zile siku 7 alizotuahidi Ruhazwe Jr bado..?

Status
Not open for further replies.

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Nikumbusheni wapendwa,uzee unanijia kwa kasi siku hizi, memory card inachezacheza
 
We kweli umezeeka!
Remmy alikuja hapa na uzi kuwa Ruhazwe JR:
1:Anaomba radhi kwa usumbufu wote ulio jitokeza kwani ilikuwa nje ya uwezo wake.
2:Amekabidhi zawadi zote alizo pokea kwa uongozi wa Jf.
Kama sikosei,ma miss watatu walithibitisha kwenye uzi ule kupokea pm toka kwa Moderator,ili watume namba zao za simu na wapokee zawadi zao.
 
Last edited by a moderator:
Bwana Asifiwe! Jumapili Njema

Walipewaa pesa,,ingawa mipango ilikuwa wa kwanza achangie JF kuwa gold member
 
We kweli umezeeka!
Remmy alikuja hapa na uzi kuwa Ruhazwe JR:
1:Anaomba radhi kwa usumbufu wote ulio jitokeza kwani ilikuwa nje ya uwezo wake.
2:Amekabidhi zawadi zote alizo pokea kwa uongozi wa Jf.
Kama sikosei,ma miss watatu walithibitisha kwenye uzi ule kupokea pm toka kwa Moderator,ili watume namba zao za simu na wapokee zawadi zao.

Ahsante sana kwa taarifa za infomesheni, uzee huu unasumbua
 
Last edited by a moderator:
We kweli umezeeka!
Remmy alikuja hapa na uzi kuwa Ruhazwe JR:
1:Anaomba radhi kwa usumbufu wote ulio jitokeza kwani ilikuwa nje ya uwezo wake.
2:Amekabidhi zawadi zote alizo pokea kwa uongozi wa Jf.
Kama sikosei,ma miss watatu walithibitisha kwenye uzi ule kupokea pm toka kwa Moderator,ili watume namba zao za simu na wapokee zawadi zao.

Waambie.maana watu humu hawalali wanawaza zawadi....
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Tatizo lipo wapi? Hii ni weekend, sipo nchini; taarifa kamili ninazo mimi na inapaswa niwasilishe kwa aliyepokea pesa ni namna ipi inanyumbulishwa! Vipi mbona tunakosa ustahimilivu na staha na hali mimi ndiyo niliwa PM wahusika kuwajulisha na kuwaomba wasubiri? Haijapita hata siku mbili kelele nyingi!

Tafadhali kuweni wavumilivu. Kufikia kesho suala lenu litafanyiwa kazi, tayari nimewakilisha mgawanyo wa hiyo pesa ambayo itanyumbuliwa upya ikisha gaiwa!

Wasalam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom