Hiyo Billion kumi 10 ametoa Jumanne kila kitu kinajulikana mchezo wa kumuita Abdallah , Dullah ulianza zamani

Hiyo Billion kumi 10 ametoa Jumanne kila kitu kinajulikana mchezo wa kumuita Abdallah , Dullah ulianza zamani

Business tycoons always have selfish personal Interests that aim in exploitation of poor for their own wellbeing.
In a failed state like Tanzania, these Cartel can do whatever they want to make sure they are in bed with corrupt Government like Mama Samia's Government.
 
Unakwepa ulipaji wa kodi wa bilioni 100,then unakichangia Chama bilioni 10 mambo yanaisha hakuna wa kukusumbua,biashara imeisha.
 
Business tycoons always have selfish personal Interests that aim in exploitation of poor for their own wellbeing.
In a failed state like Tanzania, these Cartel can do whatever they want to make sure they are in bed with corrupt Government like Mama Samia's Government.
Asante.
Ndiyo maana nikiwa na stress namsikiliza bob Nesta Marley ( RIP) uliyoyaandika yote aliyaimba . Ubarikiwe
 
Hiyo Billion 10 imetolewa na Jumanne Kaseja .

Hii inaonesha wazi ni namna gani Jumanne Kaseja ameupania huu mchezo .
Kama kawa, nyumbu wakilala wanamuota jk na wakiamka wanamuwaza jk. Wamejipackazi kuuubwa sana ndo maana jk mwenyewe anarelax sana sababu Hana kazi.........yoooote inafanywa na nyumbu.
 
Mtume Mwamposa hujamuona?
Tuna angalia top kabisa siyo vichawa na machawa ...huyo mwamposa inawezekana na yeye amuungi mkono ila ugali ndiyo tatizo ...kuna watu wanalazimika kufuata upumbavu japo wao siyo wapumbavu .
 
Back
Top Bottom