Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Kwa hiyo tukubaliane ile dhana ya Dom kuipita Dar ni ndoto za mchana
 
Mkuu uko sawa ila the deals anaongelea are too good to be done kwa muda ambao yeye anasema, na inawezekana algorithm ya vitu kama hizi ita pileup ku rise peoples hope ili hawa jamaa wapite the coming election vizuri lakin these are just stories man, we can all agree that 2005 waliwah kusema kufika 2015 tatizo la umeme litakuwa limekwisha na tutauza umeme nchi za nje right ? What year are we now and the country is experiencing shortage of power…These deals are too good to be done, somebody is trying to trick our minds, there is election coming in the near future, heads up people.
Tutafika tunapotaka kufika and thats a good thing ila sio kwa pace mnayosema ninyi inafika sehemu hata mtu wa mafinga anatukana Dar kweli mkuu ? Are they serious ?
 
Inaweza kutokea ila sio leo wala kesho
Alafu bro hakuna kitu huwa kinaniudh kama watu kama wewe ambao mnajua vitu vingi mnakuwa hampo frontline kuelekeza kipi kifanyikebili hii nchi iende mbele badala yake frontline unamkuta Mwijaku sasa kweli hapo DODOMA KUJA KUWA KAMA DAR SI NI NDOTO IZO ? Wanaonda kula Luch na weny madaraka sio wale wenye mawazo mbadala wa nini kifanyike ili Tanzania iwe hata na mikoa mi 5 kama dar badala yake unakuta lunch wanakula na kina gigy money and the likes, ndio mana me naona ni ndoto za alinacha hizo sehemu kuwa kama dar these people are not serious with whatever they are doing….
 
Mkuu nakuelewa sana ila nimeweka high hopes kwa sababu naijua Dom na sio kwa kupita. Kwa kukaaa kabisaa

Dom ya 2010 ya leo ni vitu viwili tofauti kabisaa na kama kuna mkoa unaokua kwa kasi kuliko dodoma haupo Tanzania hii.

Ila ubaya unaendelezwa na serikali so, huwezi jua ni nini kitatokea pale serikali itapoweka less investment.

Ila mkuu usipate moto sana, dar ni dar tu 😁😁
 
Bandari ya mbambabay tayari ishaanza kujengwa. Barabara ya njombe ludewa tayari inaishia. Hivi Kwa Sasa baadhi ya makampuni yameeanza kuchimba Maka ya mawe ludewa serikali imelipa fidia wananchi liganga. Baadhi ya wazao wanajishughulisha na uhunzi. Sidhani kama hizi ni story za wanaccm
 
😁😁😁 sawa mkuu 🙏🏽
Mkuu nakubali. You are talking some good stuffs and very sensible not the other guy, yan eti saivi umchukue mtu umpeleke bahari beach, alafu saa hiyo hiyo umbebe umpeleke mafinga alafu tuseme huyo mtu hajawah kuja duniani sa atasema umemtoa peponi na umempeleka jehanam. I just dont understand hawa wanaofananisha wamefika dar wapi na wapi ? … Anyways mkuu nakubali sana, leo umenifundisha kitu ila mkuu…SALUTE MAN…
 
Mkuu system za siasa tulizonazo zipo kwa ajili ya kunufaisha watu binafsi na si kwa ajili ya future ya nchi hii

Nakumbuka nilipokuwa chuo, kuna hizi mambo za UVCCM zilikuwepo sanaaa na kuna vijana wengi walijiunga na wengine ni wale ambao hawakuipenda CCM kabisaa. Ila ndio gap la kula keki ya taifa lilipo, watafanyaje 😁

Pia kwa siasa za sasa za uchawa, ni aidha watu waliokosa competence au wale wanaoweza kujizima data ndio wanaweza pata interest za kuwa siasani. Ila kwa wengine si rahisi

Binafsi yangu nipo industry nyingine na sitegemei kuingia siasani wala serikalini unless huko mbele yatokee nisioyajua as in "never say never"
 
Shukrani mkuu 🙏🏽🙏🏽
 
Yaani ipitwe na hii dodoma yenye vimbi?? Maisha ghali, kupata matunda tu na baadhi ya mboga mpaka utembelee km 5 ukiwa baadhi ya maeneo... ni very unfriendly town kwangu... sioni ikiipita dar hivi karibuni labda naada ya miaka 50 na hapo far iwe imesimama tu maana na huku pia kuna miradi mikibwa ya maendeleo...
 
Hui
Huijui dar wala kariakoo kiundani,
 
Yeahnajua Fom pia, nna jamaangu amejenga kule ilazo, its a nice place ba nimeona nyumba zinafanana na nyumba zilizopo dar NASALUTE SANA MAN… ILA DAR NI SWALA LINGINE MKUU. Niliwah kufanya kazi ya kuzunguka mkoa kwa mkoa man nachoweza kusema kuna sehemu mkuu bado saaaaaana yan daaah mwanangu hii nchi kubwa sanaaa na sehemu kubwa haina watu kabisa yan 75 percent ya tanzania ni mapori unaweza sema wanyama ni wengi kuliko binadamu Tanzania mkuu…ILAZO A NICE PLACE nlikula sausage choma zile zinatengenezwa kenya na tulinunua shoprite kama sikosei na by that time nlikuwa sijui kama kuna shoprite Dom, tukafanya kahouse party ketu pale tukaenjoi ila pia 80% ya watu walokuwepo ni watu wa dar so bado inabid Dar uisalute…nikiendaga bambalaga na pale sijui wapi nimesahau jina sikosi mtu nnaemjua wa kumkuta viwanjani Dar ila anyways KUDOS again man..
 
Same here man, I salute 👍👍👍
 
Dar itapigwa bao na mkoa upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…