Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
-
- #281
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu siku njema siku nyingine leta hoja nzito usilete hoja za kishabika kama ulizotoa tuziaminiSpo hapa kupinga mtu, Keep on believing what you imagine
Kesi closed, Am out[emoji741]
Noma sanaaMkuu, Dodoma hii hii ambayo hata Samia hataki kukaa au.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu siku njema siku nyingine leta hoja nzito usilete hoja za kishabika kama ulizotoa tuziamini
Ni surrender Kwa hoja zenu za kuwa na bahari beach ndio kuwa na uchumi mkubwa siju haytt regency aaah! Ngoja niendelee na Uzi wewe kwako umeshasema case closed.Kisaikolojia sio rahisi ukakili/ku Surrender mbele za watu, so next day think before publishing [emoji404][emoji404]
Mwanang @Mechanic97 sina baya na ww[emoji846][emoji846]
Mkuu kwanza Dar unaijua?Ni surrender Kwa hoja zenu za kuwa na bahari beach ndio kuwa na uchumi mkubwa siju haytt regency aaah! Ngoja niendelee na Uzi wewe kwako umeshasema case closed.
Na wenzio walikuja Kwa dharau hizihizi lakini saizi siwaoni kwenye walijibu okay tufanye siijui unasemaje?Mkuu kwanza Dar unaijua?
Hata ivo viwanda ya playwood na mbao ndoto zao ni Kuuza Dar hata ulima viazi ndoto zako ni kuja Kuuza DarYaani njombe mbwana. Viwanda vya playwood ndio kwanza vinaanza, parachichi ndio usiseme. Kule ludewa kumenoga miti ya Makete nayo imepanda nau. Hafu ipo katikati ya matajiri yaani Ruvuma ng'o, iringa ng'o na mbeya ng'o. Ndio maana maji ya kitulo yanapeta, ikonda naye ananufaika kuwa katikati Nosci naye mnufaika. Makambako Nako mambo ni mengi. Hafu Dar isipigwe bao.
Ukiijui ndo tutaongea kwa hoja kwasasa komaa kulima matosa na maparachichi kwanzaNa wenzio walikuja Kwa dharau hizihizi lakini saizi siwaoni kwenye walijibu okay tufanye siijui unasemaje?
Mbona unakujikuta mjuaji sana wewe playwood zinaenda hadi china. mahindi wakenya wanakuja kung'ang'aniana. Parachiparachi Hadi ulaya Kuna viazi vinaenda Hadi uarubuni makaa ya mawe Dunia nzima chai na kahawa ulaya. NDIO MAANA SERIKALI HUWA INAFUNGA MIPAKA ILI WATU WA DAR WASIJE KUFA NJAA MAANA NI WATEJA WAHELA NDOGOHata ivo viwanda ya playwood na mbao ndoto zao ni Kuuza Dar hata ulima viazi ndoto zako ni kuja Kuuza Dar
Komaa kulima matosa kwanza maana kwa upeo wako huwezi kuwa mfanyabiasharaMbona unakujikuta mjuaji sana wewe playwood zinaenda hadi china. mahindi wakenya wanakuja kung'ang'aniana. Parachiparachi Hadi ulaya Kuna viazi vinaenda Hadi uarubuni makaa ya mawe Dunia nzima chai na kahawa ulaya. NDIO MAANA SERIKALI HUWA INAFUNGA MIPAKA ILI WATU WA DAR WASIJE KUFA NJAA MAANA NI WATEJA WAHELA NDOGO
Kumbe umekariri kuwa mkoani Kuna kulima tu. Kwa akili hizi kama zako wacha wazungu na wachina waneemeke na nchi isiyo Yao huku wenye nchi wapo Dar sehemu ambako vijana wanashindia mlo mmoja huku wengine wakilala nje na waonajitahidi wapo kubeti kumtajirisha muhindi huku wengine wakilipwa buku nne Kwa muhindi wacha tu. Wahindi wawe matajiri wa dar na wakiwadharau juu. AFRICAN MENTALITYUkiijui ndo tutaongea kwa hoja kwasasa komaa kulima matosa na maparachichi kwanza
Checheche biashara zenu hizihizi za uchuuzi, udalali, kubeti, madawa ya kulevya, ukahaba, wanaume kuolewa au hamjui kuwa tunajua kuwa biashara nyingi hapo zenye kutumia akili na maarifa sio zenu ni za wageniKomaa kulima matosa kwanza maana kwa upeo wako huwezi kuwa mfanyabiashara
Kwa akili zako na mawazo yako huwezi kuwa hata umewahi kufanya biashara achia mbali kujaribuKumbe umekariri kuwa mkoani Kuna kulima tu. Kwa akili hizi kama zako wacha wazungu na wachina waneemeke na nchi isiyo Yao huku wenye nchi wapo Dar sehemu ambako vijana wanashindia mlo mmoja huku wengine wakilala nje na waonajitahidi wapo kubeti kumtajirisha muhindi huku wengine wakilipwa buku nne Kwa muhindi wacha tu. Wahindi wawe matajiri wa dar na wakiwadharau juu. AFRICAN MENTALITY
Ukahaba upo Kila mahali mkuu Hadi kwa walima matosa harafu huku sisi ndo wageni mlima matosa wenyeji wazaramChecheche biashara zenu hizihizi za uchuuzi, udalali, kubeti, madawa ya kulevya, ukahaba, wanaume kuolewa au hamjui kuwa tunajua kuwa biashara nyingi hapo zenye kutumia akili na maarifa sio zenu ni za wageni
Kama ni biashara ya uchuuzi nimewahi ifanya nasiji fanya tena siwezi fanya kitu kinachotumia akili NDOGO KAMA ZAKO. Afu ni chepesi Kila Mtu akijiskia anafanya.Kwa akili zako na mawazo yako huwezi kuwa hata umewahi kufanya biashara achia mbali kujaribu
Kwaiyo parachichi na matosa ndo unajiona umetumia akili kubwa?Kama ni biashara ya uchuuzi nimewahi ifanya nasiji fanya tena siwezi fanya kitu kinachotumia akili NDOGO KAMA ZAKO. Afu ni chepesi Kila Mtu akijiskia anafanya.
Kwaiyo parachichi na matosa ndo unajiona umetumia akili kubwa unaweza kuwa ulitaka machinga wa leso mbiliKama ni biashara ya uchuuzi nimewahi ifanya nasiji fanya tena siwezi fanya kitu kinachotumia akili NDOGO KAMA ZAKO. Afu ni chepesi Kila Mtu akijiskia anafanya.
Alie kwambia nalima maparachi na matosa nani? Mbona unafwatilia mambo ya watu.Kwaiyo parachichi na matosa ndo unajiona umetumia akili kubwa?
Hata kama ni lesso mbili mfumo wa biashara ya uchuuzi ni uleuleKwaiyo parachichi na matosa ndo unajiona umetumia akili kubwa unaweza kuwa ulitaka machinga wa leso mbili
Wewe ufuatilia mambo ya nani?Alie kwambia nalima maparachi na matosa nani? Mbona unafwatilia mambo ya watu.