much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Nimeamini wewe ni mlima matosa na maparachichiHata kama ni lesso mbili mfumo wa biashara ya uchuuzi ni uleule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini wewe ni mlima matosa na maparachichiHata kama ni lesso mbili mfumo wa biashara ya uchuuzi ni uleule
Kwani huko Dar unafanya biashara Gani? Kati hizo nilizo zitajaKwaiyo parachichi na matosa ndo unajiona umetumia akili kubwa unaweza kuwa ulitaka machinga wa leso mbili
Nalima matosa kama weweKwani huko Dar unafanya biashara Gani? Kati hizo nilizo zitaja
Kwani hivi kulima matosa na parachichi ni ajabu mbona wageni wengi wanalima wazungu, wachina wakenya ila sijaona wakifanya hizo biashara kama za kwenu.Nimeamini wewe ni mlima matosa na maparachichi
Kwaiyo hujawahi kuwaona wachina wenye maduka na stores kariakoo mkuu acha kujifungia kwenye vibarua vya machimbo ya matosa utaona mengiKwani hivi kulima matosa na parachichi ni ajabu mbona wageni wengi wanalima wazungu, wachina wakenya ila sijaona wakifanya hizo biashara kama za kwenu.
Nimeshaona mengi nione mengi yapi wachina wenye store wapo wa chache sana ukilinganisha na wengine waliopo kwenye viwanda, ujenziKwaiyo hujawahi kuwaona wachina wenye maduka na stores kariakoo mkuu acha kujifungia kwenye vibarua vya machimbo ya matosa utaona mengi
Kwa hili umejisemea wewe,sio kila mtu ana dream ya kuishi dsm.C'moon hata huko uliko kila mtu dream yake ni Dar,hata wewe mwenyewe unayo hiyo dream Sasa Kwa Nini tusipaone kama paradiso
Sio kweli bwana,huko mkoani huwa mnaona kama Dar Kwa rangi ya purple😜Kwa hili umejisemea wewe,sio kila mtu ana dream ya kuishi dsm.
Kwa hili umejisemea wewe,sio kila mtu ana dream ya kuishi dsm.C'moon hata huko uliko kila mtu dream yake ni Dar,hata wewe mwenyewe unayo hiyo dream Sasa Kwa Nini tusipaone kama paradiso
duuuh,yamekua hayo tena😅Dar ni Dar tu
Punani za dodoma sio kama za Dar
za dodoma zmepauka pyeee
Mzee wamatosani bhana mbona umesema hujawahi ona wachina wenye biashara kama tunazofanya sisi nipigie picha mchina anaeshika jembe kama kama wewe maana watakuwa wengi sanaNimeshaona mengi nione mengi yapi wachina wenye store wapo wa chache sana ukilinganisha na wengine waliopo kwenye viwanda, ujenzi
Sio kweli bwana,huko mkoani huwa mnaona kama Dar Kwa rangi ya purple[emoji12]
Umeongea kishabiki sana hadi unasahau facts.Exposure kweny treni za miaka 60s kaka 😁,saiv watu wapo kwenye trums sio hizo vurugu.
Ukweli mchungu ni kuwa dar imeanza kupoteza ushawishi kiuchumi na sababu kuu ni serikal kuhamia dodoma.
Dar iko hapo ilipo kwa ushawishi wa serikali.Wawekezaji wanapokuja Tanzania wanaambiwa dar.Wawekezaji wengi kutoka nje na ndani wamewekeza dar sabab ya ushawishi wa serikali na labda ukiritimba wa kudhoofisha maeneo mengne kwa maslah wanayoyajua wao.
Mfano kuna tycoon mwanza anaviwanda vya chuma aliambiwa atoe viwanda vyake mwanza apeleke pwani sio huyo tu wapo wengi.
Natural wealth kati ya mwanza na dar mwanza iko juu zaidi.Tofauti ya viwanda biashara mambo ambayo ni common dar inakitu gani special.
Usidhani serikal inavyosita kupeleka miundombinu mwanza like international airport, barabara ukadhani hawana akili.Serikali inajua international airport mwanza and some few gvnt infrastructure ni kiama kwa dar.
Mwanza inabust dar sabab HQ za migodi zipo dar wakati dhahabu inachimbwa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla,kodi inalipwa dar.
Siku serikal ikiamua kuwa na haki kodi ilipwe eneo la operation trust me pato la dar litapungua huenda ikafika 500B huku mikoa kama arusha mwanza pato la kodi TRA likiongezeka.JUST IMAGINE PROMO NDOGO TU KWA ZANZIBAR SAIVI UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR NDO UNAPOKEA WAGENI WENGI KULIKO JKNIA.
NARUDIA TENA KODI YA MIZIGO YA WAFANYABIASHARA IKIKATWA HUKO WANAPOIPELEKA BASI NI KIAMA KWA DAR.HIZI ICDs ZIKITOZA KODI SEHEM MZIGO UNAPOCHUKULIA TEGEMEA KUSHUKA KWA HIO DAR YENU.
IKIFIKA HATUA KODI KWENYE MITANDAO YA SIMU IKALIPWA BY PERCENTAGE i mean TRA tabora ikachukua kodi kweny mitandao ya simu kutokana na mitandao ya simu ilivyofanaya biashara tabora,hapa ndo kutakua na ushindani sahihi sio saiv kodi ya mitandao nchi nzima inahesabika dar
bandari baba bandaro muhimu landq nagamoyoWakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.
1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es Salaam.
2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.
3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.
4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.
5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.
Karibu Kwa mjadala
Uko wataofanikiwa watakuwa wachache na wenye Elimu tu tofauti n dsm everybody can hold the victoryMSD industry park idofi makambako uzalishaji wa awali wa vifaa tiba umeanza na ukamilishaji wa viwanda Vingine vya dawa unaendelea.
View attachment 2791859View attachment 2791860View attachment 2791861View attachment 2791862View attachment 2791863View attachment 2791864View attachment 2791865
Elimu now imesambaa Sana hayo mawazo ya kizamani mnooooooooUko wataofanikiwa watakuwa wachache na wenye Elimu tu tofauti n dsm everybody can hold the victory
Madegree yapo yakutosha?Elimu now imesambaa Sana hayo mawazo ya kizamani mnoooooooo
YAkutosha na hawana KazMadegree yapo yakutosha?
Unaijua Dar au unaota mwanangu. Dar kitu ingine mwananguWakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.